Gamal Abdel Nasser : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|sv}} (3) using AWB (10903)
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Gamal Nasser.jpg|thumb|right|Gamal Abdel Nasser]]
'''Gamal Abdel Nasser''' (kwa [[Kar.Kiarabu]] '''جمال عبد الناصر''' ‎gamal abd-an-nasir); (*[[Alexandria]], [[15 Januari]] [[1918]] mjini; [[AlexandriaKairo]];, [[28 Septemba]] [[1970]]) mjinialikuwa [[Kairomwanajeshi]]) alikuwa mwanajeshi na [[rais]] wa [[Misri]] katikatika yamiaka [[1954]] hadi [[1970]].
 
Alikuwa kati ya viongozi wa [[mapinduzi]] ya kijeshi ya mwaka [[1952]] nchini Misri iliyompindua [[mfalme]] na kuanzisha [[jamhuri]].
 
AlitaifishaMwaka [[1956]] alitaifisha [[mfereji wa Suez]] mwaka 1956 uliokuwa [[mali]] ya [[kampuni]] ya kigeni akaamuru kujengwa kwa [[lambo la Aswan]] tangu [[1958]].
 
Alijenga [[jeshi]] kubwa lililoshindwa mara [[mbili]] katika [[vita]] [[Mapambano kati ya Israeli na Palestina|dhidi ya Israel]].
Katika siasa ya ndani alijaribu kupeleka Misri mbele kwa kuwapa wakina mama kura katika uchaguzi na elimu bila malipo kwa vijana wote. Wakulima wadogo walipewa mashamba. Lakini utawala wa serikali katika sehemu nyingi za uchumi uligonga ukuta kama katika nchi mbalimbali yaliyofuata utaratibu wa uchumi wa kupangwa na serikali.
Katika [[siasa]] ya ndani alijaribu kupeleka Misri mbele kwa kuwapa [[Wanawake|wakina mama]] [[haki]] ya kupiga [[kura]] katika [[uchaguzi]] na [[elimu]] bila malipo kwa [[vijana]] wote. [[Wakulima]] wadogo walipewa [[Shamba|mashamba]].
 
Katika siasa ya ndani alijaribu kupeleka Misri mbele kwa kuwapa wakina mama kura katika uchaguzi na elimu bila malipo kwa vijana wote. Wakulima wadogo walipewa mashamba. Lakini [[utawala]] wa [[serikali]] katika sehemu nyingi za [[uchumi]] uligonga [[ukuta]] kama katika nchi mbalimbali yaliyofuata utaratibu wa uchumi wa kupangwa na serikali.
Nasser alihesabiwa kati ya mashujaa wa harakati ya nchi zisizofungamana na upande wowote katika [[vita baridi]] kati ya [[Umoja wa Kisovyeti]] na Marekani.
 
Nasser alihesabiwa kati ya mashujaa wa harakati ya [[nchi zisizofungamana na upande wowote]] katika [[vita baridi]] kati ya [[Umoja wa Kisovyeti]] na [[Marekani]].
1967 maazimio yake yalikuwa kati ya sababu za [[vita ya siku sita]] kati ya Istael na majirani Waarabu.
 
Mwaka [[1967]] maazimio yake yalikuwa kati ya sababu za [[vita ya siku sita]] kati ya Istael[[Israel]] na majirani [[Waarabu]].
 
{{mbeguPan-mwanasiasaAfricanism}}
{{Mbegu-mwanasiasa}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1918]]