Simu za mikononi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:SiemensAX72.jpg|upright|thumb|[[Siemens]] AX72.]]
[[File:Cellphone X-ray.jpg|thumb|upright|Ndani ya simu za mkononi]]
'''Simu ya mkononi''' (lakabu '''simu ya kiganjani''', '''simu bila waya''', '''simumnara''', '''simu-selula''', '''rununu''', '''rukono'''<ref>{{cite web| title=Of Cigarettes and Cellphones| last=Ulyseas| first=Mark| date=2008-01-18| url=http://www.thebalitimes.com/2008/01/18/of-cigarettes-and-cellphones/| publisher=The Bali Times| accessdate=2008-02-24}}</ref>) ni [[simu]] ndogo inayobebeka.
 
Simu ya mkononi inaweza kutumika kwa [[mawasiliano]] ya mbali bila [[waya]]. Inafanya kazi kwa kuwasiliana na kituo cha mawasiliano kwa njia ya [[mnara]] (vilevile huita "mnarani") ambayo inaunganisha na [[mtandao]] mkuu wa simu. Ikiwa inatembea, kama simu inakuwa mbali sana na mnara iliyoungana nao awali, ule mnara unatuma [[ujumbe]] kwa mnara mwingine wa karibu kupokea mawasiliano. Utaratibu huu unasaidia simu isikatike, hivyo basi mawasiliano yanaendelea kwa kuunganishwa huko. Kupasiana huko kwa minara ([[lugha]] ya kitaalamu "hand-off"), kunatokea kiasi kwamba hata mtumiaji hawezi kujua kitu kama hicho kimetokea.