Oksijeni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d nimeongeza kuhusu sifa za oksijeni
Mstari 38:
 
Mimea hupata mahitaji yao ya oksijeni katika [[chanikiwiti]] kutokana na CO<sub>2</sub> na [[maji]] kwa nishati ya mwanga wa jua kuwa O<sub>2</sub> na C<sub>6</sub>H<sub>12</sub>O<sub>6</sub> inayojenga molekuli mpya za [[selulosi]].
 
== Sifa za oksijeni ==
Oksijeni ina sifa mbalimbali sifa hizo huweza kuwa za kawaida ama sifa za kikemikali.Sifa hizo ni kama vile
# Oksijeni huyeyuka kidogo sana kayika [[maji.]]
# Oksijeni ni [[gesi]] yenye [[densiti]] kubwa kuliko densiti ya hewa.
# Oksijeni haina hatua yeyote katika [[maji ya chokaa]].
# Oksijeni ina saidia mwako.Ukiweka njiti ya kiberiti inayo karibia kuzima kwenye chombo chenye gesi ya oksijeni njiti hiyo itaendelea kuwaka.
# oksijeni ni gesi isiyokuwa na [[harufu]],[[rangi]] na haina [[radha]] yeyote ile.
# oksijeni huchanganyika na [[madini]] au metali zisizo za [[sumu]] ili kuunda [[oksidi ya metali]] au oksidi zisizo za [[metali]].
 
== Tazama pia ==