Nelson Mandela : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 44:
Baadaye aliendelea kusoma kwenye [[shule ya sekondari]] ya „Clarkebury Boarding Institute“ huko [[Engcobo]] iliyokuwa shule ya [[bweni]] kubwa kwa ajili ya [[vijana]] kutoka Wathembo.{{sfnm|1a1=Mandela|1y=1994|1pp=45–47|2a1=Smith|2y=2010|2pp=27, 31|3a1=Meredith|3y=2010|3pp=12–13|4a1=Sampson|4y=2011|4p=15}}
 
[[File:Young Mandela.jpg|thumb|right|upright|PhotographPicha ofya Mandela, taken inakiwa [[Umtata]] inmwaka [[1937]].]]
 
Hapa alianza mazoezi ya [[michezo]] na kupenda [[kazi]] ya [[bustani]] aliyoendelea kwa [[maisha]] yote. {{sfnm|Mandela|1994|pp=48–50}} Baada ya miaka miwili alipokea [[cheti]] kidogo cha elimu ya sekondari.{{sfnm|Sampson|2011|p=17}}
Mstari 54:
Pamoja na kupenda michezo Mandela alijifunza [[dansi]] ya Kizungu {{sfnm|1a1=Mandela|1y=1994|1pp=67–69|2a1=Smith|2y=2010|2p=34|3a1=Meredith|3y=2010|3p=18|4a1=Sampson|4y=2011|4p=25}}, alishiriki tamthiliya kuhusu about [[Abraham Lincoln]],{{sfnm|1a1=Mandela|1y=1994|1p=68|2a1=Lodge|2y=2006|2p=10|3a1=Smith|3y=2010|3p=35|4a1=Meredith|4y=2010|4p=18|5a1=Sampson|5y=2011|5p=25}} akatoa darasa la [[Biblia]] katika kanisa.{{sfnm|1a1=Mandela|1y=1994|1p=68|2a1=Lodge|2y=2006|2p=10|3a1=Meredith|3y=2010|3p=18|4a1=Forster|4y=2014|4p=93}}
 
==Harakati dhidi ya ubaguzi wa rangi==
Mandela alihukumiwa [[kifungo]] cha maisha kwa miaka 27 kutokana na [[harakati]] zake za kuupinga ubaguzi wa rangi. Alifungwa katika [[kisiwa cha Robben]].
 
Baada ya kuachiliwa huru mwaka [[1990]] alianzisha [[sera]] ya maridhiano au sera ya [[amani]] baina yake na watu weupe nchini Afrika Kusini, jambo ambalo watu wengi hawakulitegemea.
 
Mwaka wa [[1993]], pamoja na [[Frederik Willem de Klerk]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Amani''' ambayo ni [[tuzo]] ya nadra sana kutolewa [[duniani]].
 
Baada ya kutengana na mke wake, [[Winnie Madikizela]], alimuoa [[Graca Machel]] aliyewahi kuwa mke wa rais wa [[Msumbiji]], [[Samora Machel]], [Graca Machel].
 
==Marejeo==