Njia ya Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Ecliptic with earth and sun animation.gif|400px|thumb|Kwa mtazamjimtazamaji kwenye Dunia yetu, Jua linabadilikalinabadili mahali pake kulingana na nyota zinazoonekana nyuma yake. InaonekanaHilo linaonekana vema kwa kulinganisha nyota zinapoonekana kwenye sehemu ya mapambazuko au machweo ya Jua angani katika mwendo wa mwaka. Baada ya siku 365 mwendo huu unarudia. Hali halisi ni Dunia inayozunguka Jua na hivyo tunaona nyota tofauti-tofauti „nyuma“ ya Jua.]]
 
'''Ekliptiki''' (kutoka [[ing.Kiingereza]] ''[[:en:ecliptic|ecliptic]]'') ni [[mstari]] wa kudhaniwa kwenye [[anga]] la [[Dunia]] ambako [[Jua]] linapita mbele ya [[nyota]] katika [[muda]] wa [[mwaka]] mmoja. Haionekani kirahisi kwa macho kwa sababu tunaona Jua wakati wa mchana ambako nyota hazionekani.
 
==Asili ya kutambua ekliptiki==
Ekliptiki haionekani kirahisi kwa [[macho]] kwa sababu tunaona Jua wakati wa [[mchana]] ambako nyota hazionekani.
Lakini wakati wa mapambazuko na machweo nyota zinaanza kuonekana tukitambua ni karibu na nyota gani ya kwamba jua linapambazuka na kuchwa.
 
Lakini wakati wa [[mapambazuko]] na [[machweo]] nyota zinaanza kuonekana tukitambuatukiweza kutambua ni karibu na nyota gani ya kwamba jua linapambazuka na kuchwa.
Tukiangalia tena nyota zilizopo angani karibu na sehemu ya kuchwa baada ya wiki 4 tunaona kumbe zimekuwa tofauti. Nyota hizi katika sehemu ambako Jua linatokea au kupotea kwa macho ya mtazamaji zinabadilika mwezi kwa mwezi lakini baada ya mwaka moja ni tena nyota zilezile.
 
Tukiangalia tena nyota zilizopo angani karibu na sehemu ya kuchwa baada ya [[wiki]] 4 tunaona kumbe zimekuwa tofauti. Nyota hizi katika sehemu ambako Jua linatokea au kupotea kwa macho ya mtazamaji zinabadilika [[Mwezi (wakati)|mwezi]] kwa mwezi lakini baada ya mwaka mojammoja ni tena nyota zilezile.
 
==Zodiaki au mzingo wa mwaka==
Tangu miaka mielfu[[elfu]] kadhaa watazamaji wa nyota katika tamaduni mbalimbali za Dunia walishika [[kumbukumbu]] ya mabadiliko hayahayo yanayotokea sambamba na mabadiliko ya majira. Vilevile tangu kale watu waliwahi kupanga nyota za angani katika [[kundinyotamajira]]. Kwa jumla ni kundinyota 12 za kurudia zilizonekana tangu kale ya kuwa Jua linapita katika maeneo yao katika muda wa mwaka. Mzingo unaonganisha kundinyota hizi 12 ambako Jua linapita ni mstari wa ekliptiki. Jina "ekliptiki" latokana na neno la kigiriki Εκλειψις ''ekleipsis'' linalotaja [[Kupatwa kwa Jua]] au [[Kupatwa kwa Mwezi]]. Maana kila mara tukio kama hili linatazamiwa Jua au Mwezi iko kwenye mstarti wa ekliptiki.
 
Vilevile tangu kale watu waliwahi kupanga nyota za angani katika [[kundinyota]]. Kwa jumla ni kundinyota 12 za kurudia zilizoonekana tangu kale ya kuwa Jua linapita katika maeneo yake katika muda wa mwaka. [[Mzingo]] unaounganisha kundinyota hizi 12 ambako Jua linapita ni mstari wa ekliptiki.
Kundinyota karibu zote kwenye mstari wa ekliptiki zinataja wanyama wa [[mitholojia ya Kigiriki]]. [[Wagiriki wa Kale]] wakioona hasa picha za wanyama fulani katika mstari huu wakaita mzingo wote ζῳδιακὸς κύκλος ''zoodiakos kiklos'', yaani "mzingo wa wanyama". Hapa ni asili ya jina la [[Zodiaki]] (pia Zodiki) inayotumiwa katika lugha nyingi; Waarabu wanasema hapa دائرة البروج dairat-al-buruj "mzingo wa minara" kwa sababu wanaita kundinyota hizi "minara za falaki" na dhana hili lilipokelewa katika Kiswahili kwa jina la "[[buruji za falaki]]".
 
[[Jina]] "ekliptiki" linatokana na [[neno]] la [[Kigiriki]] Εκλειψις ''ekleipsis'' linalotaja [[Kupatwa kwa Jua]] au [[Kupatwa kwa Mwezi]]. Maana kila mara tukio kama hili linatazamwa Jua au Mwezi uko kwenye mstari wa ekliptiki.
 
Kundinyota karibu zote kwenye mstari wa ekliptiki zinataja [[wanyama]] wa [[mitholojia ya Kigiriki]]. [[Wagiriki wa Kale]] wakioonawakiona hasa picha[[sura]] za wanyama fulani katika mstari huu wakaita mzingo wote ζῳδιακὸς κύκλος ''zoodiakos kiklos'', yaani "mzingo wa wanyama". Hapa ni asili ya jina la [[Zodiaki]] (pia Zodiki) inayotumiwalinalotumiwa katika lugha nyingi; Waarabu wanasema hapa دائرة البروج dairat-al-buruj "mzingo wa minara" kwa sababu wanaita kundinyota hizi "minara za falaki" na dhana hili lilipokelewa katika Kiswahili kwa jina la "[[buruji za falakilugha]]" nyingi.
 
[[Waarabu]] wanasema hapa دائرة البروج dairat-al-buruj "mzingo wa minara" kwa sababu wanaita kundinyota hizi "minara za falaki" na dhana hili lilipokewa katika [[Kiswahili]] kwa jina la "[[buruji za falaki]]".
 
==Miendo ya Jua inayoonekana ==
Hali halisi Jua linakaa katika [[kitovu]] cha [[mfumo wa Jua]] likizungukwa na [[sayari]], na wakati huohuo unazunguka polepole kitovu cha [[Njia Nyeupe]] pamoja na [[Mfumo wa jua|mfumo wake]] wa [[sayari]], [[miezi]] na [[asteroidi]].

Dunia yetu ni sayari mojawapo inayozunguka kwenye [[mhimili wa mzunguko|mhimili wake]] ukifuata [[obiti]] yake ya kuzunguka Jua. Lakini hii hatuwezi kuona moja kwa moja na hali hii imetambuliwa tu wakati wa [[karne]] iliyopita.
 
Kwa macho ya mtazamaji aliye duniani kuna miendo miwili tofauti ya Jua:
 
'''* Mwendo wa Jua kuhusiana na Dunia:''' Jua linapita angani kuanzia [[mashariki]] hadi [[magharibi]], kila siku ikipitalikipita kilele cha anga wakati wa mchana. Vilevile nyota zinaonekana zinazunguka angani sawa na Jua lakini wakati wa [[usiku]]. [[Asubuhi]] inayofuata Jua linatokea tena palepale, au karibu palepale ilipoonekana siku ya [[jana]].
 
'''* Mwendo wa Jua kuhusiana na Nyota:''' Kuna mwendoMwendo wa pili ni mwendoule wa jua mbele ya nyota ambao linaonekana kufuata mzingo wa kila mwaka yaanoyaani Zodiaki.
[[Picha:Bapa la mfumo wa Jua.png|400px|thumb|Bapa la mfumo wa Jua tunapokuta obiti zote za sayari.]]
==Bapa la Mfumo wa Jua==
Msingi wa kutambua ekliptiki ni [[umbo]] la Mfumo wa Jua letu. Leo hii inadhaniwa asili yake ni mzunguko wa [[masi]] kubwa wa [[vumbi]] iliyokuwa takriban na umbo la [[sahani]] iliyozunguka.
Msingi wa kutambua ekliptiki ni umbo la Mfumo wa Jua letu. Leo hii inadhaniwa asili yake ni mzunguko wa masi kubwa wa vumbi iliyokuwa takriban na umbo la sahani iliyozunguka. Sehemu kubwa ya masi ilijikaza katika kitovu na kuwa Jua lenyewe. Katika sehemu za nje ya kisahani hiki palikuwa na sehemu mbalimbali ambako masi ilijikaza pia; masi hizi hazikutosha kuanzisha mchakato wa kinyuklia hivyo ni vyanzo yva sayari. Katika sehemu nyingine masi hazikutosha kujikaza na hapo tunapata sehemu za Mfumo wa Jua kama vile [[kanda la asteroidi]] kati ya Dunia na Mirihi au [[kanda ya Kuiper]] ng'ambo ya sayari [[Neptun]]. Kutokana na asili ya pamoja katika sahani asilia ya mfumo wa Jua tunakuta sayari zote zinapatikana takriban katika bapa moja. Pia miendo yote ya sayari inafuata mwelekeo huohuo.
 
Sehemu kubwa ya masi ilijikaza katika kitovu na kuwa Jua lenyewe. Katika sehemu za nje ya sahani hiyo palikuwa na sehemu mbalimbali ambako masi ilijikaza pia; masi hizi hazikutosha kuanzisha mchakato wa [[Nyuklia|kinyuklia]] hivyo ni vyanzo yva sayari.
 
Katika sehemu nyingine masi hazikutosha kujikaza na hapo tunapata sehemu za Mfumo wa Jua kama vile [[kanda la asteroidi]] kati ya Dunia na [[Mirihi]] au [[kanda ya Kuiper]] ng'ambo ya sayari [[Neptun]].
kwa hiyo bapa hili huitwa pia "bapa la ekliptiki" .
 
Kutokana na asili ya pamoja katika sahani asilia ya mfumo wa Jua tunakuta sayari zote zinapatikana takriban katika bapa moja. Pia miendo yote ya sayari inafuata mwelekeo huohuo.
 
kwaKwa hiyo bapa hilihilo huitwa pia "bapa la ekliptiki" .
 
[[Jamii:astronomia]]