Uhuru wa dini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 47 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q171899 (translate me)
Mstari 1:
[[File:Religiousfreedom (Pew Forum on Religion & Public Life 2009).png|thumb|400px|Hali ya uhuru wa dini nchi kwa nchi (Pew Research Center study, 2009). Rangi ya njano hafifu inamaanisha vizuio ni vichache, kumbe nyekundu inaonyesha kuna vizuio vingi.]]
'''Uhuru wa dini''' ni mojawapo kati ya [[haki za msingi]] za kila [[binadamu]] kutokana na [[hadhi]] yake inayomfanya atafute [[ukweli]], jambo linalohitaji kuwa huru kutoka kwa mwingine yeyote.