Uhuru wa dini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Religiousfreedom (Pew Forum on Religion & Public Life 2009).png|thumb|400px|Hali ya uhuru wa dini nchi kwa nchi (Pew Research Center study, 2009). [[Rangi]] ya [[njano]] hafifu inamaanisha vizuio ni vichache, kumbe [[nyekundu]] inaonyesha kuna vizuio vingi.]]
'''Uhuru wa dini''' ni mojawapo kati ya [[Haki ya msingi ya binadamu|haki za msingi]] za kila [[binadamu]] kutokana na [[hadhi]] yake inayomfanyainayomtofautisha na [[wanyama]]. Yaani [[akili]] yake inamfanya atafute [[ukweli]], jambo linalohitaji kuwa huru kutoka kwa mwingine yeyote.
 
[[Uhuru]] huo unaendana na [[wajibu]] na [[haki]] ya kufuata [[dhamiri]] hasa katika masuala ya [[dini]] na [[maadili]].
 
Haki hiyo inatajwa katika [[Tamko la kimataifa la haki za binadamu]] lililotolewa na [[Umoja wa Mataifa]] mwaka [[1948]], ingawa haitekelezwi vizuri katika nchi nyingi, hasa zile zinazofuata [[Dini rasmi|rasmi dini]] fulani au zinapinga dini zote.
 
Haki hiyo inajumlisha haki ya kuwa au kutokuwa na [[imani]] fulani, kuibadili, kuitekeleza katika [[ibada]] za binafsi na za pamoja, kuishuhudia kwa maneno na matendo, kuitangaza, n.k. maadamu mtu hatendi [[makosa ya jinai]] wala hasababishi vurugu katika [[maisha]] ya [[jamii]].
 
==Historia==
Suala la kukubali haki hiyo katika [[sheria]] za nchi lilikabiliwa tangu zamani; maarufu ni hasa [[tamkoHati laya Milano]] lililotolewailiyotolewa na [[Konstantino Mkuu]] mwaka [[313]] ili kuruhusu [[Ukristo]] katika [[Dola la Roma]] baada ya miaka karibu 250 ya [[dhuluma]].
 
==Tazama pia==
*[[Hati ya Thesalonike]]
 
== Viungo vya nje ==
Line 18 ⟶ 22:
*[http://www.irf.in.ua/eng/ Institute for Religious Freedom]
* [http://www.alleanzacattolica.org/acs/index.htm Ripoti juu ya uhuru wa dini ulimwenguni] (chanzo: [[Church in Need]])
 
{{mbegu-sheria}}
 
[[Jamii:Sheria]]