Dini rasmi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Dini rasmi''' ni [[dini]] ambayo imetangazwa na [[nchi]] fulani kuwa yake kwa namna ya pekee. Kiasi ambacho dini hiyo inapata sapoti ya [[sheria]], [[serikali]] n.k. inategemea kwa kawaida [[katiba]] ya nchi.
 
Si lazima serikali iwe chini ya [[mamlaka]] ya dini hiyo, wala kufuata masharti yake yote, wala kwamba [[uongozi]] wa dini uwe chini ya serikali au kwamba serikali iwe chini ya viongozi wa dini.
 
==Historia==
Dini rasmi zilikuwepo tangu zamani, kwa mfano [[Mashariki ya Kati]] tangu [[karne]] za [[K.K.]], na hata [[Historia ya awali|kabla ya]] [[historia]] inayoshuhudiwa na maandishi.
 
Uhusiano kati ya dini na mamlaka ya kisiasa ulijadiliwa na [[Varro]], kwa [[jina]] la ''theologia civilis'' ("[[teolojia]] ya [[uraia]]").
 
Upande wa [[Ukristo]], kwa mara ya kwanza ulipata kuwa dini rasmi nchini [[Armenia]] mwaka [[301]].<ref>
Mstari 47:
{{legend|#F4C430|[[Vajrayana|Ubuddha wa Vajrayana]]}}
|}]]
Katika nchi nyingi tumezoea kwamba [[nchi isiyo na dini|serikali haina dini]]. Kila [[mwananchi]] ni huru kuchagua [[imani]] yake. Kumbe [[wazo]] hilo si la kawaida popote [[duniani]].
 
Mpaka leo tunasikia habari za nchi zinazotoa [[kipaumbele]] kwa dini au [[madhehebu]] fulani upande wa serikali. Kule [[Uingereza]] [[mfalme]] au [[malkia]] anapaswa kuwa Mkristo wa [[Anglikana|Kianglikana]] naye ni [[mlezi]] mkuu wa Kanisa la Kianglikana. Kule [[Denmark]] na [[Sweden]] wafalme wanapaswa kuwa Wakristo [[Walutheri|wa Kilutheri]]. Katika nchi nyingi za [[Waarabu]] [[Rais]] awe Mwislamu wa madhehebu ya [[Sunni]]. Kule [[Iran]] Rais huchaguliwa kati ya wataalamu Waislamu wa madhehebu ya [[Shia]]. Taratibu hizo ni mabaki ya utaratibu ambao miaka 200 iliyopita ulikuwa kawaida katika sehemu nyingi za [[dunia]].
 
Kwa sasa, dini rasmi katika nchi tofautitofauti ni [[Ukristo]], [[Uislamu]] na [[Ubuddha]]. Suala la [[haki]] za [[Uyahudi]] nchini [[Israeli]] ni la pekee.
 
===Nchi za Kikristo===
Mstari 163:
[[Category:Dini]]
[[Category:Siasa]]
[[Jamii:Sheria]]