Dini rasmi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 6:
Dini rasmi zilikuwepo tangu zamani, kwa mfano [[Mashariki ya Kati]] tangu [[karne]] za [[K.K.]], na hata [[Historia ya awali|kabla ya]] [[historia]] inayoshuhudiwa na maandishi.
 
Uhusiano kati ya dini na mamlaka ya kisiasa ulijadiliwa na [[Marcus Terentius Varro]], ([[116 KK]] – [[27 KK]]) kwa [[jina]] la ''theologia civilis'' ("[[teolojia]] ya [[uraia]]").
 
Upande wa [[Ukristo]], kwa mara ya kwanza ulipata kuwa dini rasmi nchini [[Armenia]] mwaka [[301]].<ref>