Historia ya Malta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''{{PAGENAME}}''' inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda Jamhuri ya Malta. {{Europe topic|Historia ya}} {{mbegu-historia}} Jamii:Historia ya Malta...'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
'''{{PAGENAME}}''' inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda [[Jamhuri]] ya [[Malta]].
 
Malta ilikaliwa na [[watu]] tangu [[milenia ya 4 KK]]. Kuna ma[[ghofu]] ya [[hekalu]] la [[mwaka]] [[3200 KK]] hivi.
 
Baadaye [[funguvisiwa]] lilitawaliwa na [[Wafinisia]], [[Karthago]] na [[Dola la Roma]].
 
Malta inatajwa katika [[Biblia]] kwa sababu [[Mtume Paulo]] aliponea huko baada ya kuzama kwa [[merikebu]] alimosafiri [[Bahari|baharini]] kuelekea [[Roma]] ([[Mdo]] 27:39 n.k.).
 
[[Waarabu]] walivamia [[visiwa]] hivyo mwaka [[870]] na kuvitawala hadi [[1091]].
 
Baadaye vilitawaliwa na [[Wanormandi]] wa [[Italia Kusini]], baadaye tena na [[Wahispania]] chini ya [[mamlaka]] ya [[Dola Takatifu la Kiroma]] la [[Ujerumani]].
 
Tangu mwaka [[1530]] visiwa vilikabidhiwa na [[Kaisari]] kwa [[askari]] wa [[Vita vya msalaba]] wa [[SMOM|Chama cha Wanahospitali wa Mt. Yohane wa Yerusalemu]].
 
[[Wanamisalaba]] hao walikuwa mabwana wa visiwa hadi [[Napoleoni]] alipoteka Malta mwaka [[1799]] akiwa [[Safari|safarini]] kwenda [[Misri]].
 
[[Uingereza]] ulitwaa visiwa kutoka kwa [[Ufaransa]] ukatawala Malta hadi [[uhuru]] wake [[tarehe]] [[21 Septemba]] [[1964]].
 
Tarehe [[13 Desemba]] [[1974]] Malta ikatangazwa kuwa [[jamhuri]] ndani ya [[Jumuiya ya Madola]].
 
Tarehe [[1 Mei]] [[2004]] nchi ikajiunga na [[Umoja wa Ulaya]].
 
{{Europe topic|Historia ya}}