Kroatia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tengua pitio 1024456 lililoandikwa na Riccardo Riccioni (Majadiliano)
Tag: Undo
Mstari 55:
[[Picha:Hr-map.png|thumb|left|330px|Ramani ya Kroatia]]
[[Picha:Arena pula inside.JPG|thumb|right|300px|Uwanja wa [[Arena (colosseum)]] mjini [[Pula]], [[Istria]]]]
'''Kroatia''' (kwa [[Kikroatia]]: ''Republika Hrvatska'') ni nchi ya [[Ulaya]] ya kusini-mashariki. Imepakana na [[kusiniSlovenia]]-, [[masharikiHungaria]]., [[Serbia]], [[Bosnia na Herzegovina]] na [[Montenegro]].
 
Imepakana na [[Slovenia]], [[Hungaria]], [[Serbia]], [[Bosnia na Herzegovina]] na [[Montenegro]].
 
Ng'ambo ya kidaka cha [[Adria]] iko [[Italia]].
 
[[Mji mkuu]] ni [[Zagreb]].
 
Kroatia ilikuwa kati ya majimbo ya [[Yugoslavia]] na ilipata uhuru wake mwaka [[1991]].
Line 68 ⟶ 66:
 
== Historia ==
Maeneo ya Kroatia yalikuwa sehemu ya [[Illyria]] wakati wa [[Dola la Roma]] na kutawaliwa kama [[mikoa]] ya [[dola]] hilo.
 
Mnamo [[mwaka]] [[395]] Dola la Roma liligawiwa katika sehemu ya [[Dola la Roma Magharibi|magharibi]] na sehemu ya [[Dola la Roma Mashariki|mashariki]]. Sehemu hizo [[mbili]] ziliendela baadaye kwa namna mbili tofauti.
 
Kuanzia mwaka [[600]] [[Kabila|makabila]] ya [[Waslavoni]] walianza kuingia na kukaa. Wakroatia waliunda [[utemi]] wao wa kwanza. Kroatia ilikuwa upande wa magharibi wa mstari wa mwaka 395, hivyo chini ya [[athira]] ya [[Kanisa Katoliki]], ikaendelea kuwa sehemu ya [[utamaduni]] wa [[Ulaya ya magharibi]]. Kumbe Waslavoni majiraniwa jirani wanaotumia [[lugha]] ileile waliishi chini ya athira ya [[Bizanti]] na [[Kanisa la Kiorthodoksi]], hivyo kuendelea kama sehemu ya [[Ulaya ya Mashariki]] na kuitwa [[Waserbia]].
 
Mtemi [[Tomislav]] ([[910]]–[[928]]) alichukua [[cheo]] cha [[mfalme]] mwaka [[925]]. UfalmeHuo huu[[Ufalme wa Kroatia]] uliendelea hadi mwaka [[1102]]. Wakati ule [[mfalme]] wa mwisho hakuwa tena wa [[watoto]] na mfalme wa [[Hungaria]] alichaguliwa kuwa mfalme wa Kroatia pia. Maungano hayahayo na Hungaria yaliendelea kwa [[karne]] nyingi.
 
Tangu maungano wa Hungaria na [[Austria]] ni [[Kaisari]] wa Austria aliyekuwa na cheo cha mfalme wa Krotia hadi [[vita kuu ya kwanza ya dunia]] ([[1914]]-[[1918]]).
 
Mwaka 1918 [[Dola la Austria]] liliporomoka. Waslavoni wa Kusini waliamua kuunda [[ufalme]] wa pamoja kwa [[jina]] la [[Yugoslavia]]. Kroatia ilikuwa sehemu ya Yugoslavia kuanzia [[1918]]; kwanza katika [[ufalme wa Yugoslavia]], halafu katika [[jamhuri]] ya [[Usoshalisti|kisoshalisti]] ya Yugoslavia hadi [[1991]].
 
Miaka [[1990]] / 1991 Yugoslavia iliporomoka na majimbo yake zilitafuta [[uhuru]] kama nchi za kujitegemea.