Ureno : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 87:
 
== Historia ==
===Historia ya awali===
Katika [[karne]] za [[KK]] Ureno ilikaliwa na ma[[kabila]] yaleyale ya [[Wakelti]] kama Hispania.
 
Line 99 ⟶ 100:
[[Vita]] vya kuwaondoa tena viliendelea kwa karne kadhaa.
 
===Uhuru===
Tangu mwaka [[1143]] [[mtawala]] wa eneo la mji wa [[Kale (mji)|Kale]] katika kaskazini alikuwa na uwezo wa kutosha kujitetea dhidi ya Waarabu na pia dhidi ya majirani wa eneo la Kihispania.
 
Line 117 ⟶ 119:
Kati ya [[makoloni ya Ureno]] yalibaki hasa [[Msumbiji]], [[Angola]], [[Guinea Bisau]], [[Cabo Verde]], [[São Tomé na Príncipe]] katika [[Afrika]], [[Brazil]] katika [[Amerika ya Kusini]] (hadi [[1822]]) pamoja na maeneo madogomadogo kama [[Goa]] kwenye [[Bara Hindi]], [[Timor ya Mashariki]] katika funguvisiwa ya [[Indonesia]], mji wa [[Makao]] katika [[Uchina]].
 
===Jamhuri===
Mwaka [[1910]] Ureno iliona [[mapinduzi]] ikawa [[jamhuri]].