Historia ya Slovakia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''{{PAGENAME}}''' inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda Jamhuri ya Slovakia. {{Europe topic|Historia ya}} {{mbegu-historia}} Jamii:Historia ya Slov...'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
'''{{PAGENAME}}''' inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda [[Jamhuri]] ya [[Slovakia]].
 
Kwa sehemu kubwa ya [[historia]] yake hadi mwaka [[1918]] Slovakia ilikuwa chini ya [[watawala]] wa [[ukoo]] wa [[Habsburg]] waliokuwa [[wafalme]] na ma[[kaisari]] wa Austria.
 
Baada ya [[vita vikuu vya kwanza]] Slovakia ilipata [[uhuru]] pamoja na [[Ucheki]] katika nchi ya [[Chekoslovakia]], ambayo baada ya [[vita vikuu vya pili]] ilitekwa na [[Wakomunisti]].
 
Baada ya kujikomboa, mwaka [[1993]] Ucheki na Slovakia ziliachana kwa [[amani]] na kuwa kila moja nchi ya pekee.
 
Slovakia imekuwa nchi mwanachama wa [[Umoja wa Ulaya]] tangu [[tarehe]] [[1 Mei]] [[2004]].
 
{{Europe topic|Historia ya}}