Serbia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|sr}} using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1:
{{Infobox Country
|native_name = Република Србија<br />''Republika Srbija''
|conventional_long_name = JmahuriJamhuri ya Serbia
|common_name = Serbia
|image_flag = Flag of Serbia.svg
|image_coat = Coat of arms of Serbia.svg
|image_map = Location_of_Serbia_in_Europe,_Kosovo_included.png
|map_caption = {{map_caption |region=on the [[Europe|European continent]]}}
|national_anthem = <span style="line-height:1.25em;">''[[Bože pravde]]''<small><br />''Mungu wa haki''</small></span>
Mstari 58:
Imepakana na [[Hungaria]], [[Bulgaria]], [[Romania]], [[Masedonia]], [[Kosovo]] (au [[Albania]]), [[Montenegro]], [[Bosnia na Herzegovina]] na [[Kroatia]].
 
[[Mji mkuu]] ni [[Belgrad]], wenye watu [[milioni]] 1,2.
Nchi, ukiondoa Kosovo, ina wakazi 7,186,862 kwenye eneo la [[km²]] 88.361. Wengi wao wana asili ya [[Kislavoni]].
 
Nchi ni mwanachama wa [[Umoja wa Mataifa]] na inatarajia kujiunga na [[Umoja wa Ulaya]].
Upande wa [[dini]] 85% ni [[Waorthodoksi]], 5% [[Wakatoliki]], 3% [[Waislamu]], 1% [[Waprotestanti]].
 
==Historia==
[[Mji mkuu]] ni [[Belgrad]], wenye watu milioni 1,2.
[[Waslavi]] walihamia [[Balkani]] baada ya [[karne ya 6]].
 
Kati yao, Waserbia waliunda falme mbalimbali mwanzoni mwa [[Karne za Kati]].
Nchi ni mwanachama wa [[Umoja wa Mataifa]] na inatarajia kujiunga na [[Umoja wa Ulaya]].
 
Mwaka [[1217]] [[Ufalme wa Serbia]] ulitambuliwa na [[Roma]] na [[Bizanti]]
na mwaka [[1346]] ulifikia [[kilele]] cha [[ustawi]] wake kama [[Dola la Serbia]].
 
Hali hiyo haikudumu [[muda]] mrefu, tena katikati ya [[karne ya 16]] eneo lote la Serbia ya leo lilitekwa na [[Waosmani]], ingawa pengine sehemu yake ilitawaliwa na [[Dola la Wahabsburg]].
 
Mwanzoni mwa [[karne ya 19]], [[mapinduzi]] ya Serbia ilileta [[ufalme wa kikatiba]] wa kwanza katika Balkani.
 
[[Ufalme]] huo ulizidi kuenea na baada ya [[vita vikuu vya kwanza]] vilivyosababisha [[Kifo|vifo]] vingi vya [[raia]] zake, Serbia iliungana na [[Kabila|makabila]] kuanzisha [[Yugoslavia]] iliyodumu hadi [[miaka ya 1990]] iliposambaratika kwa [[vita vya wenyewe kwa wenyewe]].
 
Mwaka [[2006]] hata [[Montenegro]] ilitengana na Serbia, ila kwa [[amani]].
 
Mwaka [[2008]] [[bunge]] la [[jimbo]] la [[Kosovo]] lilijitangazia [[uhuru]].
 
==Watu==
Nchi, ukiondoa Kosovo, ina wakazi 7,186,862 kwenye eneo la [[km²]] 88.361. Wengi wao wana asili ya [[Kislavoni]].
 
Upande wa [[dini]] 85% ni [[Waorthodoksi]], 5% [[Wakatoliki]], 3% [[Waislamu]], 1% [[Waprotestanti]].
{{mbegu-jio-Ulaya}}
{{Ulaya}}