Moldova : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|af}} using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 52:
}}
 
'''Moldova''' ni nchi ya [[Ulaya ya Mashariki]]. Inapakana na [[Ukraina]] na [[Romania]].
 
Inapakana na [[Ukraina]] na [[Romania]].
[[Lugha rasmi]] ni [[Kiromania]], ambacho kimetokana hasa na [[Kilatini]]. Ni lugha ya kwanza ya 76% ya wakazi wote, ikifuatwa na [[Kirusi]] (16%).
 
Eneo lake ni la km<sup>2</sup> 33,843, ingawa [[Transnistria]] imejitenga kwa msaada wa [[Urusi]].
Upande wa [[dini]], 93.34% ni [[Waorthodoksi]].
 
[[Mji mkuu]] ni [[Chișinău]].
 
==Historia==
Moldova ilikuwa sehemu ya [[Umoja wa Kisovyeti]] kwa jina la '''[[Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kimoldova]]''' ikapata [[uhuru]] wake tarehe [[27 Agosti]] [[1991]].
Kwa kiasi kikubwa [[historia]] ya Moldova inahusiana na [[Historia ya Romania|ile ya Romania]] kwa kuwa ni [[taifa]] [[moja]] kwa [[utamaduni]], [[lugha]] na [[dini]].
 
Baada ya [[vita vikuu vya kwanza]] Moldova ilikuwa sehemu ya [[Umoja wa Kisovyeti]] kwa jina la '''[[Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kimoldova]]''' ikapatahadi ilipopata [[uhuru]] wake tarehe [[27 Agosti]] [[1991]].
 
==Watu==
Wakazi ni [[milioni]] 3.5 hivi.
 
[[Lugha rasmi]] ni [[Kiromania]], ambacho kimetokana hasa na [[Kilatini]]. Ni [[lugha ya kwanza]] ya 76[[%]] ya wakazi wote, ikifuatwa na [[Kirusi]] (16%).
 
Upande wa [[dini]], 93.34% ni [[Wakristo]] [[Waorthodoksi]].
 
{{mbegu-jio-Ulaya}}
{{Ulaya}}
{{mbegu-jio-Ulaya}}
 
[[Jamii:Moldova| ]]