Kishineu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 113 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q21197 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Chisinau Center.jpg|thumb|240px|Kishineu mjini: geti na kanisa]]
'''Kishineu''' (tamka: ki-shi-ne-u;kwa [[Kiromania]] '''Chişinău''' (matamshi kama mbele); kwa [[mwandiko wa kikirili]] '''Кишинэу''', kwa [[Kirusi]] Кишинёв ''"kishinyev"'') ni [[mji mkuu]], pia [[mji]] mkubwa wa [[Moldova]] mwenyewenye wakazi 600,000.
 
== Jiografia ==
Mji uko kwa [[aj|47°0′N 28°55′E]] kando laya [[mto Bich]] (Bîc) amaboambao ni [[tawimto]] wala [[Dnestr ]]. Eneo la mji ni 120 [[km²]] 120. Kishineu iko katikati ya nchi ya Moldova.
 
Kuna [[vyuo]] vingi pamoja na [[shule]], [[makumbusho]] na [[nyumba za igizomaigizo]]. Mji una [[viwanda]] vingi.
 
== Wakazi ==
Kati ya wakazi kuna vikundi vifuatayo kufuatana na [[lugha]]:
* [[Kiromania]] - 68.4%
* [[Kirusi]] - 13.7%
Mstari 26:
* [http://www.elections2005.md/chisinau/ 2005 Chişinău election for mayor]
 
== Picha za Kishineu ==
<center>
<gallery>
Mstari 40:
</center>
 
=== Ramani ===
* [http://www.allmoldova.com/map.php?lang=en Ramani ya Chişinău]
* [http://uk.geocities.com/vitalie_eremia/chisinau.htm Ramani ya Chişinău yenye picha]