Ufini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 68:
 
Nchi ni mwanachama wa [[Umoja wa Mataifa]] na wa [[Umoja wa Ulaya]].
 
==Historia==
===Historia ya awali===
Ufini ulikaliwa na watu tangu ilipokwisha [[enzi ya barafu]] ya mwisho, miaka [[9000 KK]] hivi.<ref>{{Cite book|title=Muinaisuutemme jäljet|last=Georg Haggren, Petri Halinen, Mika Lavento, Sami Raninen and Anna Wessman|first=|publisher=Gaudeamus|year=2015|isbn=978-952-495-363-4|location=Helsinki|pages=23}}</ref> Wakazi wa kwanza walikuwa [[wawindaji]]-wakusanyaji ambao walitumia vifaa vya [[mawe]] vinavyofanana na vile vya [[Estonia]], [[Russia]] na [[Norway]].
 
Labda [[kilimo]] kilianza miaka [[3000 KK]] - [[2500 KK]].<ref>{{Cite book|title=Muinaisuutemme jäljet|last=Georg Haggren, Petri Halinen, Mika Lavento, Sami Raninen ja Anna Wessman|first=|publisher=Gaudeamus|year=2015|isbn=9789524953634|location=Helsinki|pages=339}}</ref>
 
===[[Karne za kati]]===
Mwishoni mwa [[karne ya 13]] Ufini ukawa sehemu ya [[Sweden]] hadi [[mwaka]] [[1809]], ilipomezwa na [[Dola la Russia]] kama [[ufalme mdogo]] wenye kujitawala kwa kiasi fulani.
 
===Karne ya 20===
Mwaka [[1906]], Ufini ulikuwa nchi ya kwanza [[duniani]] kuwapa wananchi wote wenye [[umri]] wa [[utu uzima]] haki ya kugombea [[Cheo|vyeo]] vya [[serikali]].<ref name="eduskunta">{{cite web|url=http://web.eduskunta.fi/Resource.phx/parliament/aboutparliament/presentation/history.htx|title=History of the Finnish Parliament|author=Parliament of Finland|work=eduskunta.fi}}</ref><ref name="full suffrage">Finland was the first nation in the world to give all (adult) citizens full suffrage, in other words the right to vote and to run for office, in 1906. New Zealand was the first country in the world to grant all (adult) citizens the right to vote, in 1893. But women did not get the right to run for the New Zealand legislature, until 1919.</ref>
 
Mwaka [[1917]], baada ya [[Mapinduzi ya Urusi ya 1917|Mapinduzi ya Russia]], Ufini ulijitangaza huru na mwaka uliofuata ukawa jamhuri baada ya [[vita vya wenyewe kwa wenyewe]].
 
Wakati wa [[vita vikuu vya pili]], [[Muungano wa Jamhuri za Kisosholisti za Kisovyeti|Muungano wa Kisovyeti]] ulijitahidi kuteka Ufini wote, ukaishia kutwaa [[Karelia]], [[Salla]], [[Kuusamo]], [[Petsamo]] na [[visiwa]] kadhaa tu.
 
Baada ya [[vita]] Ufini uliacha kutegemea kilimo ukajitosa katika [[uchumi]] wa [[viwanda]]<ref name="imf2">{{cite web |url=http://www.imf.org/external/pubs/ft/weo/2013/01/weodata/weorept.aspx?pr.x=65&pr.y=7&sy=2009&ey=2012&scsm=1&ssd=1&sort=country&ds=.&br=1&c=172&s=NGDPD%2CNGDPDPC%2CPPPGDP%2CPPPPC%2CLP&grp=0&a= |title=Finland |publisher=International Monetary Fund |accessdate=17 April 2013}}</ref> hata kufikia kuwa kati ya [[nchi zilizoendelea]] zaidi<ref name="World Audit">{{cite web |url=http://www.worldaudit.org/countries/finland.htm |title=Finland: World Audit Democracy Profile |work=WorldAudit.org |archiveurl=https://web.archive.org/web/20131030113921/http://www.worldaudit.org/countries/finland.htm |archivedate=30 October 2013}}</ref><ref>{{cite web |url=http://www.oecd-ilibrary.org/education/tertiary-education-graduation-rates_20755120-table1 |title=Tertiary education graduation rates—Education: Key Tables from OECD |doi=10.1787/20755120-table1 |publisher=OECD iLibrary |date=14 June 2010 |accessdate=6 March 2011}}</ref><ref>{{cite web |url=http://e24.no/makro-og-politikk/article3803493.ece |title=Her er verdens mest konkurransedyktige land—Makro og politikk |publisher=E24.no |date=9 September 2010 |accessdate=6 March 2011 |deadurl=yes |archiveurl=https://web.archive.org/web/20101014010931/http://e24.no/makro-og-politikk/article3803493.ece |archivedate=14 October 2010 |df=dmy-all }}</ref><ref>{{cite web|url=http://www.prosperity.com/country.aspx?id=FI |title=The 2009 Legatum Prosperity Index |publisher=Prosperity.com |accessdate=4 February 2010 |deadurl=yes |archiveurl=https://web.archive.org/web/20091029140547/http://www.prosperity.com/country.aspx?id=FI |archivedate=29 October 2009 }}</ref> In 2015, Finland was ranked first in the World Human Capital<ref>{{cite web |url=http://reports.weforum.org/human-capital-report-2015/rankings/ |title=Human Capital Report 2015 |website=[[World Economic Forum]] |accessdate=15 May 2015}}</ref> and the [[Press Freedom Index]] and as the most stable country in the world during 2011–2016 in the [[Fragile States Index]],<ref>{{cite web |url=http://fsi.fundforpeace.org/rankings-2016 |title=Fragile States Index 2016 |publisher=Fundforpeace.org |accessdate=27 November 2016 |deadurl=yes |archiveurl=https://web.archive.org/web/20170204213240/http://fsi.fundforpeace.org/rankings-2016 |archivedate=4 February 2017 |df=dmy-all }}</ref> and second in the [[Global Gender Gap Report]].<ref>{{cite book | title = Gender Gap Report | url = http://www3.weforum.org/docs/WEF_GenderGap_Report_2012.pdf | format = PDF | publisher = WEF }}</ref>.
 
Mwaka [[1955]] Ufini ulijiunga na [[Umoja wa Mataifa]] ukichagua [[siasa]] ya kutoambatana na upande wowote.
 
Mwaka [[1995]] ulijiunga na [[Umoja wa Ulaya]] na mwaka [[1999]] ulikubali kutumia [[euro]].
 
==Watu==
Kuna jumuiya tatu katika Ufini:
Kuna jumuiya tatu katika Ufini: [[Wafini]] wenyewe ambao ni 90% ya wakazi wote. [[Waswidi]] wako hasa upande wa kusini mwa nchi, kwa jumla ni takriban 5% ya wakazi. Hasa [[visiwa vya Aland]] kuna Waswidi watupu walio na hali ya kujitawala ndani ya Ufini. [[Wakazi asilia]] ni [[Wasami]] ambao wako kaskazini tu. Maisha yao yanategemea [[uwindaji]] na [[ufugaji]]; wako wachache, jumla yao haifikii 0.2% ya wakazi wote.
*[[Wafini]] wenyewe ambao ni 90% ya wakazi wote.
Kuna jumuiya tatu katika Ufini: [[Wafini]] wenyewe ambao ni 90% ya wakazi wote. *[[Waswidi]] wako hasa upande wa kusini mwa nchi, kwa jumla ni takriban 5% ya wakazi.; Hasahasa [[visiwa vya Aland]] kuna Waswidi watupu walio na hali ya kujitawala ndani ya Ufini. [[Wakazi asilia]] ni [[Wasami]] ambao wako kaskazini tu. Maisha yao yanategemea [[uwindaji]] na [[ufugaji]]; wako wachache, jumla yao haifikii 0.2% ya wakazi wote.
*[[Wakazi asilia]] ni [[Wasami]] ambao wako kaskazini tu. Maisha yao yanategemea [[uwindaji]] na [[ufugaji]]; wako wachache, jumla yao haifikii 0.2% ya wakazi wote.
 
Mbali na hao, kuna [[wahamiaji]] (5.9%), hasa kutoka [[Russia]], Estonia na [[Somalia]].
 
[[Lugha rasmi]] ni [[Kifini]] na [[Kiswidi]]. Lugha ya Kifini ina asili ya [[Asia]] ya katiKati]], haina uhusiano na [[lugha za Kihindi-Kiulaya]].
 
Wakazi wenye lugha ya Kiswidi wako upande wa kusini mwa nchi kwa sababu Ufini ilitawaliwa na Uswidi kwa [[karne]] nyingi. Katika karne hizo walikuwepo Waswidi waliohamia Ufini lakini kuna pia Wafini walioanza kutumia Kiswidi pekee. Hasa kwenye visiwa vya Aland Kiswidi ni lugha pekee. Lakini Waswidi wa Ufini wanajisikia wa Ufini.
 
Upande wa [[dini]], 73% ni [[Walutheri]] na 1.1% [[Waorthodoksi]]. [[Madhehebu]] hayo mawili ya [[Ukristo]] yanatambulika na kupewa nafasi katika matukio mbalimbali na [[shule]]ni. 24.3% hawana dini yoyote.
 
== Watu maarufu ==