Ufini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 103:
Wakazi wenye lugha ya Kiswidi wako upande wa kusini mwa nchi kwa sababu Ufini ilitawaliwa na Uswidi kwa [[karne]] nyingi. Katika karne hizo walikuwepo Waswidi waliohamia Ufini lakini kuna pia Wafini walioanza kutumia Kiswidi pekee. Hasa kwenye visiwa vya Aland Kiswidi ni lugha pekee. Lakini Waswidi wa Ufini wanajisikia wa Ufini.
 
Upande wa [[dini]], 7372% ni [[Walutheri]] na 1.1% [[Waorthodoksi]]. [[Madhehebu]] hayo mawili ya [[Ukristo]] yanatambulika na kupewa nafasi katika matukio mbalimbali na [[shule]]ni. 241,6% wanafuata dini au madhehebu mengine, wakati 25.3% hawana dini yoyote.
 
== Watu maarufu ==