Ujerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 100:
 
== Historia ==
[[Kabila|Makabila]] mbalimbali ya [[Wagermanik]] yamekuwa yakiishi kaskazini mwa Ujerumani wa leo tangu zamani za [[Roma ya Kale]]. Eneo lililoitwa kwa [[Kilatini]] "[[Germania]]" linajulikana tangu mwaka [[100]].
 
Wakati wa [[Dola la Roma]] kudhoofika, makabila hayo yalisambaa hasa kwenda [[kusini]].
 
Kuanzia [[karne ya 10]] Ujerumani ulikuwa kiini cha [[Dola Takatifu la Kiroma]].<ref>The Latin name ''Sacrum Imperium'' (Holy Empire) is documented as far back as 1157. The Latin name ''Sacrum Romanum Imperium'' (Holy Roman Empire) was first documented in 1254. The full name "Holy Roman Empire of the German Nation" (''Heiliges Römisches Reich Deutscher Nation'', short HRR) dates back to the 15th century.<br />{{cite book | last = Zippelius| first = Reinhold| title = Kleine deutsche Verfassungsgeschichte: vom frühen Mittelalter bis zur Gegenwart| trans-title = Brief German Constitutional History: from the Early Middle Ages to the Present| edition = 7th| origyear = 1994| year = 2006| publisher =Beck| language = German| isbn = 978-3-406-47638-9| page = 25}}</ref>
 
Katika [[karne ya 16]] maeneo ya Ujerumani kaskazini yakawa kiini cha [[Matengenezo ya Kiprotestanti]] katika [[Ukristo]].
 
Baada ya Dola Takatifu kusambaratika, [[Shirikisho la Ujerumani]] ulianzishwa [[mwaka]] [[1815]].
 
Mwaka [[1871]], Ujerumani ukawa [[taifa]]-[[dola]] chini ya [[Prussia]].
 
Kisha kushindwa katika [[vita vikuu vya kwanza]], hilo [[Dola la Ujerumani]] lilikoma na kuiachia nafasi [[Jamhuri ya Weimar]].
 
[[Adolf Hitler]] aliposhika [[uongozi]] wa nchi mwaka [[1933]] aligeuza nchi kuwa wa [[udikteta|kidikteta]] na kuingiza [[dunia]] katika [[vita vikuu vya pili]] ambapo hasa [[Wayahudi]] waliangamizwa kwa [[Milioni|mamilioni]] katika [[Makambi ya KZ|makambi maalumu]].
 
Baada ya kushindwa tena [[Vita|vitani]], nchi iligawanyika pande mbili, [[Ujerumani ya Magharibi|magharibi]] chini ya [[Marekani]], [[Uingereza]] na [[Ufaransa]], na [[Ujerumani ya Mashariki|mashariki]] chini ya [[Muungano wa Jamhuri za Kisosholisti za Kisovyeti|Muungano wa Kisovyeti]].
 
[[Ukomunisti]] ulipopinduliwa mwaka [[1989]], tarehe [[3 Oktoba]] [[1990]] Ujerumani mashariki ulijiunga na [[shirikisho]] la Ujerumani magharibi ambao ulikuwa tayari kati ya nchi [[Mwanzilishi|waanzilishi]] wa [[Umoja wa Ulaya]] wa leo.<ref name="SLyE6YJEn0C page 52">{{cite book|url=https://books.google.com/books?id=ySLyE6YJEn0C&pg=PA52|title=The Lost German East|isbn=9781107020733|author1=Demshuk|first1=Andrew|date=30 April 2012|deadurl=no|archiveurl=https://web.archive.org/web/20161201215323/https://books.google.com/books?id=ySLyE6YJEn0C&pg=PA52|archivedate=1 December 2016|df=dmy-all}}</ref>
 
Katika [[karne ya 21]] Ujerumani ni nchi ya [[Demokrasia|kidemokrasia]] yenye [[maendeleo]] makubwa hasa upande wa [[uchumi]].
 
Kuhusiana na hatua hizo mbalimbali za historia yake ndefu, inafaa kusoma pia:
* [[Dola Takatifu la Kiroma]] ([[900]]-[[1806]])
* [[Shirikisho la Ujerumani]] ([[1815]]-[[1866]])