Milki ya Osmani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:OttomanEmpireIn1683.png|thumb|right|450px|Milki ya Osmani mwaka 1683.]]
[[Picha:Gentile Bellini 003.jpg|thumb|right|250px|[[Sultani]] [[Mehmed Fatih]] mshindi waaliyeteka Konstantinopoli mwaka 1453.]]
'''Milki ya Osmani''' (pia: '''Ottomani''')<ref>[[Historia Kuu ya Afrika]] hutumia "Ottomani";, Umbo[[umbo]] la jina "Ottomani" linatokanalinalotokana na [[matamshi]] ya [[Kiingereza]] ya [[jina]] "<big><big>عثمان</big></big>" , "uthman", labda pia kwa kukosea [[herufi]] yaza [[Kiarabu]] "<big><big>ث</big></big> th" na "<big><big>ﺖ</big></big> t"; kwa hiyo kumtamka mwanzilishi "Otman"; katika lugha za Farsi[[Kifarsi]] na [[Kituruki]] herufi ya "<big><big>ث</big></big> th" ina matamshi ya "s", hivyo "Osmani".</ref> ilikuwa [[dola]] kubwa lililotawala upande wa [[mashariki]] wa [[Mediteranea]] pamoja na nchi nyingi za [[Mashariki ya Kati]] kwa karne nyingi kati ya [[karne ya 14]] hadina [[mwaka]] [[1922]].
 
[[Milki]] ilianzishwa na [[Waturuki]] [[Waosmani]] ikachukua nafasi ya [[ukhalifa wa Waabbasi]] na [[Milki ya Bizanti]].
 
[[Mji mkuu|Mji wake mkuu]] ulikuwa [[Konstantinopoli]] (leo: [[Istanbul]]) na [[mtawala]] wake mkuu alikuwa [[Sultani]] wa Waosmani. [[Imani]] [[Dini rasmi|rasmi]] ya milki ilikuwa [[Uislamu]] hata kama katika maeneo mengi [[idadi]] kubwa ya wakazi walikuwa [[Wakristo]].
 
[[Tabaka]] yala viongozi wa kisiasa na wa kijeshi walikuwa Waosmani waliokuwa Waturuki pamoja na mchanganyiko wa Waislamu kutoka sehemu zote za milki yao, hasa [[Balkani]]. Kwenye uwanja wa [[uchumi]] na utawala Waosmani walitumia sana Wakristo [[Wagiriki]] na [[Waarmenia]] kutokana na [[elimu]] yao.
 
== Chanzo ==
Milki ilianza kama eneo ndogodogo la [[kabila]] yala KiturkiKituruki katika [[Anatolia]] chini ya [[chifu]] [[Osmani I]] likaendelea kupanuakupanuka hasa kwa kutwaa sehemu za milki ya Bizanti upande wa [[Asia]] na [[Ulaya]] ya Kusini-Mashariki.
 
== Kutwaa kwa Bizanti ==
Mwaka [[1453]] Waosmani walitwaa [[mji]] wa Konstantinopoli na kumaliza Milki ya Bizanti wakifanya mji kuwa mji mkuu wao.
[[Picha:Ottoman small animation.gif|thumb|left|Upanuzi wa milki ya Osmani 1299–1683.]]
Katika [[karne ya 16]] Waosmani waliendelea kupanua kenyemilki yao kwenye [[Balkani]] upande wa Ulaya, [[Kaukazi]], [[Mesopotamia]] upande wa Asia na katika [[Afrika ya Kaskazini]].
 
== Ukhalifa ==
Baada ya kushinda [[Wamamaluki]] katika [[Misri]], sultani (Selim I) alikuwa pia mkuu wa [[Makka]] na [[Madina]] akaendelea kujipatia [[cheo]] cha [[khalifa]].
 
[[Kilele]] cha enzi yake ilikuwa katika [[karne zaya 16]] hadi [[Karne ya 17|17]]. Mwaka [[1683]] Waosmani walijaribu mara ya pili kuvamia [[Austria]] na kuteka [[Vienna]] lakini walishindwa. Kuanzia tukio lilehilo athira yao katika Ulaya ilianza kupungua.
 
== Mzee mgonjwa wa Ulaya ==
Katika [[karne ya 18]] nchi za Ulaya zilipita Milki ya Osmani kiteknolojiaupande wa [[teknolojia]], kiuchumi[[uchumi]] na polepole pia kijeshi[[jeshi]].
 
Wakati wa [[karne ya 19]] Milki ya Osmani ikaitwa "Mzee mgonjwa wa Ulaya" (pia: "Mgonjwa wa Bosporus") na ilikuwa hasa mashindano kati ya [[Urusi]], [[Ufaransa]], [[Uingereza]] na [[Austria-Hungaria]] yaliyozuia kudhindwakushindwa kwake kwa sababu kila nchi kubwa ya Ulaya ilihofia ya kwamba nchi nyingine ingejipatia sehemu kubwa za Milki ya Osmani, hivyo walizuiliana. Lakini nguvu yake iliendelea kufifia.
 
Kwenye mwisho wa karne ya 19 Masultani walijaribu kutekeleza matengenezo mablimbalimbalimbali ya [[muundo]] wa kisiasa na kiuchumi lakini mabadiliko yalitokea polepole.
 
== Mwisho wa Waosmani ==
Mwisho wa milki ilikuja katika [[vita]] vya mwanzoni wa [[karne ya 20]].
Mwisho wa milki ilikuja katika vita mwanzoni wa karne ya 20. Vita za Balkani ziliondoa karibu nchi zote upande wa Ulaya kutoka utawala wa Waosmani. [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] ilimaliza milki hii. Serikali iliamua kujiunga na [[Ujerumani]] na [[Austria-Hungaria]] dhidi ya [[Urusi]], [[Uingereza]] na [[Ufaransa]].
 
[[Vita vya Balkani]] viliondoa karibu nchi zote upande wa Ulaya kutoka utawala wa Waosmani.
1918 jeshi na dola zikaporomoka kabisa. Milki ikagawiwa na washindi wa vita. Sehemu za Kiarabu zikawa [[nchi lindwa]] za Uingereza na Ufaransa. Katika maeneo yaliyobaki nchi mpya ya [[Uturuki]] ikaanzishwa.
 
Mwisho wa milki ilikuja katika vita mwanzoni wa karne ya 20. Vita za Balkani ziliondoa karibu nchi zote upande wa Ulaya kutoka utawala wa Waosmani. [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] ilimaliza milki hii. [[Serikali]] iliamua kujiungakuunga namkono [[Ujerumani]] na [[Austria-Hungaria]] dhidi ya [[Urusi]], [[Uingereza]] na [[Ufaransa]].
 
Mwaka [[1918]] jeshi na dola zikaporomokavikaporomoka kabisa. Milki ikagawiwa na washindi wa vita. Sehemu za Kiarabu zikawa [[nchi lindwa]] za Uingereza na Ufaransa. Katika maeneo yaliyobaki nchi mpya ya [[Uturuki]] ikaanzishwa.
 
==Marejeo==