Waturuki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Waturuki.jpg|thumb|400px|'''Waturuki''': [[Mehmed II]]- [[Suleiman Mkuu]] - [[Mustafa Kemal Atatürk]] - [[Sabiha Gökçen]] - [[Wakinadada Pekinel]]<br>[[Cahit Arf]] - [[Nazım Hikmet]] - [[İdil Biret]] - [[Oktay Sinanoğlu]] - [[Şebnem Ferah]]]]
'''Waturuki''' (kwa [[Kituruki]]: '''Türk''', ''wingi: Türkler'') ni [[jumuiya]] 70 hivi za [[watu]] wanaotumia [[lugha]] ya [[Kituruki]] au mojawapo ya [[lugha za Kiturki|lugha zilizo karibu]]. Si muhimu kwao [[urithi wa kinasaba]] ([[DNA]]), kwa maana asili zao ni tofauti sana, ila polepole waliunganishwa na lugha, [[utamaduni]] na [[dini]].
 
'''Waturuki''' (kwa [[Kituruki]]: '''Türk''', ''wingi: Türkler'') ni jumuiya 70 za watu wanaotumia [[lugha]] ya [[Kituruki]] au mojawapo ya [[lugha za Kiturki|lugha zilizo karibu]].
 
Kwa maana nyingine ni jina la [[raia]] wote wa nchi ya [[Uturuki]]. Wakazi wa [[Uturuki]] ni [[milioni]] 78 hivi, lakini si wote Waturuki [[utamaduni|kiutamaduni]]: wengine (20-30%) ni [[Wakurdi]], halafu [[Waarabu]], [[Waarmenia]] n.k.
 
Waliohamia nje ya Uturuki pamoja na [[watoto]] wao ni takriban milioni 47: wengi wao wako [[Ujerumani]].
 
Waturuki walio wengi ni [[Waislamu]] [[Wasunni]], lakini kuna tofauti kati yao. Wengine (labda 25%) ni [[Waalevi]] ambao ni tawi la [[Washia]].
 
{{mbegu-utamaduni}}
 
[[category:Uturuki]]