Njombe (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 18:
}}
 
'''Njombe''' ni halmashauri ya [[mji]] mwenye halmashauri na hivyowenye hadhi ya [[wilaya]] katika [[Mkoa wa Njombe]] nchini [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''59100''' <ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/njombe.pdf</ref>. Ni pia [[makao makuu]] ya [[Mkoa wa Njombe]] na [[Wilaya ya Njombe Vijijini]].
 
Njombe iko kwenye kimo cha mita 2000 [[juu ya UB]] kwenye sehemu ya mashariki ya milima ya Kipengere na tabianchi ni baridi kiasi<ref name="Tanzania travel guide">{{cite book|title=Tanzania travel guide|date=June 2015|publisher=Lonely Planet|page=271|edition=6|isbn=978-1742207797|accessdate=12 January 2016}}</ref>. Mji iko takriban kilomita 200 kusini mwa [[Iringa]] na kilomita 150 upande wa kaskazini-mashariki mwa [[Mbeya]]. [[Misimbo ya posta]] ni 59101 (mjini, CBD) hadi 59117.
Mstari 26:
Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, wilaya hii ya Njombe Mjini ilikuwa na wakazi wapatao 130,223 waishio humo. <ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Njombe Region – Njombe Town-Council]</ref>
 
Wenyeji ni hasa [[Wabena]]. Lakini pia, kuna wingi wa watu wa makabila mengine kama [[Wakinga]] na[[Wapangwa]].
[[File:Church in Njombe, Tanzania.jpg|thumbnail|left|Kanisa Kuu katoliki Njombe Mjini]].
 
 
==Usafiri==
Barabara ya lami kutoka [[Makambako]] kwenda [[Songea]] inapita mjini. <ref>{{cite web|title=Njombe Roads Network|url=http://tanroads.go.tz/uploads/documents/en/1446621691-Njombe.pdf|website=Tanroads|accessdate=14 February 2016}}</ref> Kituo cha karibu cha treni za [[TAZARA]] ikokipo [[Makambako]]. Pia kuna [[uwanja wa ndege]] eneo la Chaungingi. Hakuna huduma ya [[ndege za abiria]].