Skauti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 8:
Skauti huhitajika kuwepo kwa kila [[shule]] za [[sekondari]] [[duniani]].
 
[[Mwanzilishi]] wa [[chama cha skauti]] [[duniani]] ([[1907]]) aliitwa [[Robert Baden-Powell]] ([[1857]]–[[1941]]) kutoka [[Uingereza]]. Lengo lake lilikuwa kusaidia vijana kukua vizuri pande zote ([[mwili]], [[nafsi]] na [[roho]]) ili hatimaye wawe [[raia]] wema katika [[jamii]].
 
== Kanuni za skauti ==