Masedonia : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
(Replacing Macedonia_topography.svg with File:Macedonia_topography-en.svg (by CommonsDelinker because: File renamed: File renaming criterion #4: To harmonize the file name) |
No edit summary |
||
[[File:Greater Macedonia.png|thumb|right|335px|Eneo la Masedonia la kihistoria limegawanyika leo hii kati ya nchi za kisasa za [[Ugiriki]], [[Jamhuri ya Masedonia]], [[Bulgaria]], [[Albania]] na [[Serbia]].]]
[[File:Macedonia topography-en.svg|thumb|right|335px|Ramani ya topografia ya Masedonia.]]
'''Masedonia''' (pia: '''Makedonia''') ni eneo la kijiografia na kihistoria kwenye [[rasi]] ya [[Balkani]] katika [[Ulaya]] [[kusini]] [[mashariki]].
Eneo hili limegawanyika hasa kati ya nchi za [[Ugiriki]], [[Jamhuri ya Masedonia]] na [[Bulgaria]]; maeneo madogo yamo ndani ya [[Serbia]] na [[Albania]].
Katika karne ya 4 KK eneo hili lilikuwa kiini cha [[ufalme wa Masedonia]] uanojulikana hasa kutokana na wafalme wake [[Filipo I]] na [[Aleksanda Mkuu]]. Wakati ule Masedonia ilihesabiwa kama sehemu ya utamaduni wa Kigiriki. ▼
▲Katika [[karne ya 4 KK]] eneo hili lilikuwa kiini cha [[ufalme wa Masedonia]]
Baadaye makabila ya Kislavoni yalihamia hapa. Leo hii wakazi wengi wa Masedonia ya kihistoria nje ya Ugiriki wanatumia [[lugha za Kislavoni]] wakati ndani ya Masedonia ya Kigiriki wanatumia lugha ya [[Kigiriki]]. ▼
▲Baadaye [[Kabila|makabila]] ya
[[Category:Balkani]]
[[Jamii:Jamhuri ya Masedonia]]
[[Jamii:Ugiriki]]
|