Masedonia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
Eneo hili limegawanyika hasa kati ya nchi za [[Ugiriki]], [[Jamhuri ya Masedonia]] na [[Bulgaria]]; maeneo madogo yamo ndani ya [[Serbia]] na [[Albania]].
 
Katika [[karne ya 4 KK]] eneo hili lilikuwa kiini cha [[ufalme wa Masedonia]] unaojulikana hasa kutokana na [[wafalme]] wake [[Filipo III wa Masedonia|Filipo II]] na [[Aleksanda Mkuu]]. Wakati ule Masedonia ilihesabiwa kama sehemu ya [[utamaduni]] wa [[Ugiriki wa kale]].
 
Baadaye [[Kabila|makabila]] ya [[Waslavi]] yalihamia hapa. Leo hii wakazi wengi wa Masedonia ya kihistoria nje ya [[Ugiriki]] wanatumia [[lugha za Kislavoni]] wakati ndani ya Masedonia ya Kigiriki wanatumia [[lugha]] ya [[Kigiriki]].