Filipo II wa Masedonia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Sanamu ya Filipo II. '''Filipo II wa Masedonia'''<ref>Philip II of Macedonia: Ian Worthington, Yale University Press, {{...'
 
No edit summary
Mstari 2:
'''Filipo II wa Masedonia'''<ref>Philip II of Macedonia: Ian Worthington, Yale University Press, {{ISBN|0300164769}}, 9780300164763</ref> (kwa [[Kigiriki]]: Φίλιππος Β΄ ὁ Μακεδών, ''Phílippos II ho Makedṓn''; [[382 KK]] – [[336 KK]]) alikuwa [[mfalme]] wa [[Masedonia]] katika [[Ugiriki wa Kale]] kuanzia [[mwaka]] [[359 KK]] hadi alipouawa.
 
Mnamo [[500 KK]] kulikuwako [[ufalme]] ulioitwa Masedonia ambao ulihesabiwa kama sehemu ya [[utamaduni]] wa [[Ugiriki wa kale]] na [[wafalme]] waliruhusiwa kwenye [[michezo ya Olimpiki]] ya madola ya Wagiriki.
 
Pamoja na sehemu nyingi za Ugiriki ufalme huo ulipaswa kukubali ubwana wa [[Milki ya Uajemi]], lakini mfalme [[Filipo II wa Masedonia]] alifaulu, kuanzia mnamo mwaka [[360 KK]], kurudishakuurudisha [[uhuru]] wa ufalme akaendelea kuifanya Masedonia kuwa [[dola]] kiongozi kati ya madola madogo ya [[Ugiriki]].
 
Mwanawe [[Aleksander Mashuhuri|Aleksanda Mkuu]] aliimarisha [[utawala]] wake juu ya Wagiriki wengine na kushambulia Milki ya Uajemi na hatimaye kuivamia na kuishinda kwa [[jeshi]] kutoka sehemu zote za Ugiriki.