Meli za mizigo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Cargo Granat, Emder Hafen.jpg|thumb|Cargo Granat]]
[[Picha:Bruges Belgium Cargoship-Natasha-N-in-Dampoort-Lock-01.jpg|thumb|meliMeli ya mizigo hukoNatasha Belgiumhuko natashaUbelgiji.]]
'''Meli za mizigo''' ni [[meli]] ambazo hutumika kubeba [[mizigo]] mbalimbali na kuisafirisha kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
 
Meli za mizigo za sasa ni tofauti na meli za mizigo za zamani kwani za sasa zinatengenezwa kwa [[teknolojia]] ya kisasa na zinatumia [[umeme]] kutembea, tofauti na [[meli]] za zamani zilizokuwa zikitumia [[makaa ya mawe]] ili kuweza kutembea.
 
[[Meli]] hizi za [[mizigo]] za kisasa zinaweza kubeba [[mizigo]] mingi na mizito kama vile [[magari]], [[mashine]] mbalimbali za [[kazi]] na kusafirisha kutoka [[bara]] moja kwenda [[bara]] jingine.
 
[[Meli]] hizi hutumia muda mrefu kufika sehemu husika kwani kuna muda [[meli]] hizi husumbuliwa na [[dhoruba]] za majini kama vile [[mawimbi]], na muda mwingine [[meli]] hizi huhitaji kufanyiwa [[matengenezo]] ili ziweze kuendelea na [[safari]] zake.meli

Meli hizi zipo za aina nyingi, zipo zilizo tengenezwazilizotengenezwa kwa ajili ya kusafirisha [[vyakula]] na [[matunda]] ambapo ndani ya meli hii ya vyakula huwa kuna [[majokofu]] kwa ajili ya kutunza [[vyakula na matunda]] hayo ili yasiharibike njiani kwani vyakula huitajihuhitaji uangaliuangalizi mzuri ili visiharibike.

Pia zipo meli za mizigo zilizo tengenezwazilizotengenezwa kwa ajili ya kusafirisha [[mafuta]] kama [[petroli]], na [[dizeli]], ambapo ndani ya meli hizi kuna [[matenki]] ya kubebea [[mafuta]].

Meli huwa na mstari chini yake; mstari huwohuo mara nyingi huwa wa [[rangi]] nyekundu au nyeusi, na mstari huu hautakiwi kuzama kabisa ndani ya maji kwani meli inaweza kuzama pale tu mstari huu utakapo zama wote ndani ya [[maji]] . Pia [[meli]] hizi hazitakiwi kutembea katika [[maji]] yenye kina kifupi kwani zinawizazinaweza kuzama.
{{mbegu}}