Albania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Fixed content
Tags: Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu
No edit summary
Mstari 21:
|areami² = 11,100 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
|percent_water = 4.7%
|population_estimate = 3,020,209[
|population_estimate_year = 2014
|population_estimate_rank = ya 134
Mstari 58:
Albania ni kati ya [[nchi maskini]] zaidi za Ulaya na wananchi wengi wamehama.
 
[[Mji mkuu]] ni [[Tirana]].
 
==Historia==
===Historia ya kale===
Albania ilikaliwa na [[Kabila|makabila]] mbalimbali ya [[iliriko|Wailiriko]], [[Wathraki]] na ya [[Wagiriki]].
 
Katika karne ya 3 KK eneo lilitekwa na [[Dola la Roma]] na kufanywa sehemu ya [[majimbo]] ya [[Dalmatia]], [[Masedonia]] na [[Iliriko]].
 
===[[Karne za Kati]]===
[[Mwaka]] [[1190]] ndani ya [[Dola la Roma Mashariki]] ulitokea [[ufalme]] mdogo wa Arbër kwa juhudi za archon Progon huko Krujë.
 
Mwishoni mwa [[karne ya 13]] [[Charles wa Anjou]] aliwanyang'anya [[Bizanti|Wabizanti]] eneo hilo na kuanzisha [[Ufalme wa Albania]] kutoka [[Durrës]] hadi [[Butrint]].
 
Katikati ya [[karne ya 15]] nchi ilitekwa na [[Waosmani]].
 
===Historia ya kisasa===
Albania ya sasa ilitokea mwaka [[1912]], baada ya Waosmani kushindwa katika [[vita vya Balkani]].
 
Ufalme wa Albania ulitekwa na [[Italia]] ya [[Benito Mussolini]] mwaka [[1939]] hadi [[1943]], ulipowekwa na [[Ujerumani]] wa [[Adolf Hitler]] chini yake.
 
Baada ya nchi hizo mbili kushindwa [[Vita|vitani]], nchi ikaongozwa na [[Enver Hoxha]] ikijitenga zaidi na zaidi na [[dunia]] nzima.
Kati ya miaka [[1945]] na [[1990]] ilipotawaliwa na [[chama cha Kikomunisti]] Albania ilitangaza kuwa nchi ya kwanza ya [[ukanaji Mungu|kiatheisti]] na kupiga [[marufuku]] kila aina ya [[dini]].
 
Kutokana na [[mapinduzi]] ya mwaka [[1991]] [[Usoshalisti|Jamhuri ya Kisoshalisti]] iliiachia nafasi [[jamhuri]] ya nne.
 
Kwa sasa Albania ni kati ya [[nchi maskini]] zaidi za Ulaya na wananchi wengi wamehama.
 
==Watu==