Kupro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 69:
Kisiwa kinazungumziwa na [[Biblia ya Kikristo]], kwa namna ya pekee kuhusiana na [[umisionari]] wa [[Mtume Barnaba]] na wenzie [[Mtume Paulo]] na [[Marko Mwinjili]] kisiwani huko.
 
===Baada[[Karne yaza uhuruKati]]===
Kuanzia [[mwaka]] [[649]] Kupro ilishambuliwa na pengine kutawaliwa na [[Waarabu]] walioua wakazi wengi na kubomoa [[Kanisa|makanisa]] na [[miji]] mizima.
Tangu [[vita ya Kupro ya 1974]] [[kisiwa]] kimegawiwa, huku maeneo ya kaskazini yakiwa anatawaliwa na [[Jamhuri ya Kituruki ya Cyprus ya Kaskazini]] isiyotambulika kimataifa.
 
===Chini ya Waosmani===
Baada ya Wakristo kujirudishia kisiwa hicho muhimu, [[Waturuki]] [[Waosmani]] walikiteka mwaka [[1570]] na kuingiza [[Uislamu]] bila kufaulu kufuta [[dini]] ya wenyeji.
 
===Chini ya Waingereza===
Mwaka [[1878]] [[Uingereza]] ulianza kutawala Kupro bila kuitenga rasmi na [[Dola la Waosmani]] hadi mwaka [[1914]].
 
===Uhuru===
[[Tarehe]] [[16 Agosti]] [[1960]] Kupro ilijipatia [[uhuru]] ingawa kulikuwa na utata kati ya kubaki peke yake, kuungana na Ugiriki au kugawiwa kati ya
[[kaskazini]] (Waturuki) na [[kusini]] (Wagiriki).
 
==Baada ya uhuru==
Tangu [[vita yavya Kupro ya, 1974]] [[kisiwa]] kimegawiwa, huku maeneo ya [[kaskazini]] yakiwa anatawaliwayanatawaliwa na [[Jamhuri ya Kituruki ya Cyprus ya Kaskazini]] isiyotambulika kimataifa.
 
Pamoja na hayo, Kupro imefaulu kujiunga na [[Umoja wa Ulaya]] tarehe [[1 Mei]] [[2004]].