Historia ya Liechtenstein : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''{{PAGENAME}}''' inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda Ufalme mdogo wa Ubelgiji. {{Europe topic|Historia ya}} {{mbegu-historia}} Jamii:Historia...'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
'''{{PAGENAME}}''' inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda [[Ufalme mdogo]] wa [[UbelgijiLiechtenstein]].
 
Kwa muda mrefu nchi ilikuwa sehemu ya [[Dola Takatifu la Kiroma]] ingawa chini ya [[utawala]] wa [[Ukabaila|kikabaila]].
 
Dola hilo liliposambaratishwa na [[Napoleon Bonaparte]] ([[1806]]), Liechtenstein ilijiunga na [[Shirikisho la Rhein]] hadi [[mwaka]] [[1813]] ambapo lilifutwa, halafu na [[Shirikisho la Ujerumani]] ([[1815]]-[[1866]]).
 
Ndipo ilipopata [[uhuru]] kamili ikitegemea [[ulinzi]] kutoka [[Uswisi]].
 
{{Europe topic|Historia ya}}