Liechtenstein : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 59:
 
Upande wa [[mashariki]] na karibu na mpaka wa Austria milima hupanda hadi [[kimo]] cha [[mita]] 2,599.
 
==Historia==
Kwa muda mrefu nchi ilikuwa sehemu ya [[Dola Takatifu la Kiroma]] ingawa chini ya [[utawala]] wa [[Ukabaila|kikabaila]].
 
Dola hilo liliposambaratishwa na [[Napoleon Bonaparte]] ([[1806]]), Liechtenstein ilijiunga na [[Shirikisho la Rhein]] hadi [[mwaka]] [[1813]] ambapo lilifutwa, halafu na [[Shirikisho la Ujerumani]] ([[1815]]-[[1866]]).
 
Ndipo ilipopata [[uhuru]] kamili ikitegemea [[ulinzi]] kutoka [[Uswisi]].
 
== Uchumi ==
Lichtenstein imekuwa [[nchi tajiri]] baada ya [[vita kuu ya pili ya dunia]] kwa sababu [[serikali]] ya mtemi ilidai [[kodi]] dunindogo kabisa zilizohamasisha ma[[kampuni]] mengi ya nje kufungua [[ofisi]] zao nchini.
 
Kuna pia [[benki]] nyingi zinazosemekana kuficha [[pesa]] za ma[[tajiri]] ambao wangetakiwa kulipa kodi ya mapato nyumbani kwao.
 
== Siasa ==
Mkuu wa nchi ni [[mtemi]] [[Hans-Adam II wa Liechtenstein|Hans-Adam II]] anayeitwa kwa jina kamili "Johannes „Hans“ Adam II. Ferdinand Alois Josef Maria Marko d'Aviano Pius von und zu Liechtenstein". Tangu tarehe [[15 Agosti]] [[2004]] amemkabidhi mwanawe Alois [[madaraka]] ya [[utawala]].
 
[[Bunge]] la wabunge 25 huchaguliwa na wananchi wote. [[Sheria]] zote zinapaswa kukubaliwa na mtemi. Ma[[waziri]] watano wa [[serikali]] huteuliwa na bunge na kuthibitishwa na mtemi. Wananchi wote wana [[haki]] ya kupeleka mapendekezo ya sheria, au kudai [[kura]] ya wananchi wote juu ya sheria iliyopitishwa na bunge na kuthibitishwa na mtemi.
 
==DiniWatu==
[[Lugha rasmi]] na ya kawaida ni [[Kijerumani]].
 
WakaziUpande wa dini, wakazi wengi ni [[Wakristo]], hasa [[Wakatoliki]] (78.4%) na [[Wakalvini]] (7.9%).
==Dini==
Wakazi wengi ni [[Wakristo]], hasa [[Wakatoliki]] (78.4%) na [[Wakalvini]] (7.9%).
 
== Michezo ==
Line 81 ⟶ 89:
Mwaka [[1996]] klabu ya Vaduz ilishinda klabu ya [[Latvia]] [[FC Universitate Riga]] 1–1 na 4–2 lakini ilishindwa baadaye na [[Paris St. Germain]].
 
[[Timu ya kitaifataifa]] ya [[2004]] iliweza kumaliziana na [[Ureno]] 2–2 na kushinda [[Luxemburg]] 4-0.
 
==Tazama pia==