Ufalme wa Muungano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 60:
 
==Historia==
[[Milki]] kubwa kwenye [[kisiwa]] cha [[Britania]] ilikuwa [[Uingereza]].
Milki kubwa kwenye kisiwa cha Britania Kuu ilikuwa Uingereza. Tangu mwaka 1284 Welisi ilitawaliwa na Uingereza na katika Sheria ya Muungano (Act of Union) ya 1536 ilikuwa sehemu ya Milki ya Uingereza. Sheria ya Muungano ya 1707 iliunganisha milki mbili za Uingereza na Uskoti kuwa Milki ya Britania Kuu. Nchi zote mbili ziliwahi kuwa chini ya mfalme mmoja tangu mwaka 1603. Tangu wakati uleule Ufalme wa Eire (Ireland) ilitawaliwa na Uingereza pia. Sheria ya 1800 iliunganisha Ufalme wa Britania Kuu na Ufalme wa Eire na hivyo kuunda Ufalme wa Maungano (United Kingdom of Great Britan and Ireland).
 
Tangu [[mwaka]] [[1284]] [[Welisi]] ilitawaliwa na Uingereza na katika Hati ya Muungano (Act of Union) ya mwaka [[1536]] ilikuwa sehemu ya Milki ya Uingereza.
Baada ya Vita ya uhuru ya Eire bunge la London kwa sheria ya 1920 (Government of Ireland Act 1920) liligawa Ireland kwa sehemu mbili za Northern Eireland na Southern Ireland. Wabunge waliochaguliwa katika Ireland ya Kusini walijitangaza kuwa bunge la Eire na kwa mapatano ya 1922 uhuru wa Dola Huru la Eire ilitambuliwa. Nchi mpya ilijiita tangu 1922 1937 "Jamhuri ya Eire na kuendelea kama nchi ya pekee. Mikoa ya Northern Ireland iliendelea kuwa sehemu za Ufalme wa Maungano.
[[File:Elizabeth II greets NASA GSFC employees, May 8, 2007 edit.jpg|thumb|upright|left|alt=Elderly lady with a yellow hat and grey hair is smiling in outdoor setting.|[[Elizabeth II]], [[Malkia]] wa Ufalme wa Muungano na wa nchi mbalimbali za [[Commonwealth]].]]
 
Hati ya Muungano ya mwaka [[1707]] iliunganisha milki [[mbili]] za Uingereza na [[Uskoti]] kuwa Milki ya Britania Kuu. Nchi zote mbili zilikuwa chini ya [[mfalme]] mmoja tangu mwaka [[1603]]. Tangu wakati uleule Ufalme wa [[Eire]] (Ireland) ilitawaliwa na Uingereza pia.
Mwaka 1999 Uskoti, Welisi na Northern Ireland zilirudishwa bunge zao za pekee.
 
[[Sheria]] ya mwaka [[1800]] iliunganisha Ufalme wa Britania Kuu na Ufalme wa Eire na hivyo kuunda Ufalme wa Muungano (United Kingdom of Great Britan and Ireland).
Uskoti ilikuwa na harakati pana ya kuondoka katika Ufalme wa Maungano lakini katika kura ya watu wa Uskoti ya mwaka 2014 asilimia 55 waliamua kubaki.
 
Baada ya [[Vita vya uhuru vya Eire]] [[bunge]] la [[London]] kwa sheria ya mwaka [[1920]] (Government of Ireland Act 1920) liligawa Ireland katika sehemu mbili za Northern Ireland na Southern Ireland.
Kumbe kura ya wananchi wa Ufalme mzima ya mwaka 2016 iliamua kuondoka katika [[Umoja wa Ulaya]] kwa asilimia 51.9.
 
Baada ya Vita ya uhuru ya Eire bunge la London kwa sheria ya 1920 (Government of Ireland Act 1920) liligawa Ireland kwa sehemu mbili za Northern Eireland na Southern Ireland. Wabunge waliochaguliwa katika Ireland ya Kusini walijitangaza kuwa bunge la Eire na kwa mapatano ya mwaka [[1922]] [[uhuru]] wa Dola Huru la Eire ilitambuliwaulitambuliwa. Nchi mpya ilijiita tangu 1922 [[1937]] "Jamhuri ya Eire" na kuendelea kama nchi ya pekee. Mikoa ya Northern Ireland iliendelea kuwa sehemu za Ufalme wa MaunganoMuungano.
 
Mwaka [[1999]] Uskoti, Welisi na Northern Ireland zilirudishwa bungemabunge zaoyao zaya pekee.
 
Uskoti ilikuwaulikuwa na [[harakati]] pana ya kuondoka katika Ufalme wa MaunganoMuungano lakini katika [[kura]] ya watu wa Uskoti ya mwaka [[2014]] [[asilimia]] 55 waliamua kubaki.
 
Kumbe kura ya wananchi wa Ufalme mzima ya mwaka [[2016]] iliamua kuondoka katika [[Umoja wa Ulaya]] kwa asilimia 51.9.
 
==Wakazi==