Katerina wa Siena : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 19:
Alisimulia kwamba alipokuwa na miaka sita alianza kupata [[njozi]] na akiwa na miaka saba aliweka [[nadhiri]] ya [[ubikira]] akianza safari ya [[toba]] yenye [[saumu]] na [[malipizi]] mengine.
 
Kwenye umri wa miaka 12 wazazi, wasiojua nadhiri yake, walianza kufikiria wamuoze. Katerina aliitikia kinyume, hata kwa kunyoa kipara na kujifungia nyumbani. Ili kumshurutisha wazazi walimuagiza kazi nzito nyingi, lakini bure. Siku moja baba alimkuta akisali ana njiwa akielea kichwani pake. Hapo alikubali kumuacha huru ajichagulie maisha.Na kuendelea alikuwa anajiunga na Dominiko
 
=== Kujiunga na [[Wadominiko]] ===