Mafuta (chakula) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Fati''' ni [[neno]] lililotokana na neno la kiingereza liitwalo[[Kiingereza]] "fat ambalo", maana yake ni [[mafuta]]. Fati ni sehemu ya [[chakula]] cha [[binadamu]] ambacho kipo katika mfumo wa mafuta au kimeundwa na mafuta kwa [[asilimia]] kubwa.Vyakula hivi huitajika kwa asilimia chache sana ndani ya mwili.

Vyakula hivi ni kama maparachichi[[parachichi]], [[siagi]] mbalimbali kama za [[maziwa]] na [[karanga]], na kwenye [[nafaka]] kama [[alizeti]].
Vyakula hivi humsaidia [[mtu]] kwa kumpatia [[joto]] hasa wakati wa [[baridi]], pia huchangia katika [[uzalishaji]] wa [[nishati]] na [[nguvu ]] kwa ajili ya mwili na pia hufanya [[kazi]] mbalimbali katika [[mmeng'enyo wa chakula]] [[Tumbo|tumboni]].
Vyakula vya fati vikizidi mwilini huwa na madhara kama kuziba mishipa na kusababisha ugonjwa huitwao shinikizo au maarufu kama presha. Na ugonjwa huu hutokana na mafuta kuganda wenye moyo na kusababisha moyo kushindwa kusukuma damu ipasavyo.
Vyakula hivi huhitajika kwa asilimia chache sana ndani ya [[mwili]]. Vyakula vya fati vikizidi mwilini huwa na madhara kama kuziba [[Mishipa ya damu|mishipa]] na kusababisha [[ugonjwa]] huitwao [[Shinikizo la juu la damu|shinikizo la damu]] au maarufu kama presha. Na ugonjwaUgonjwa huu hutokana na mafuta kuganda wenye [[moyo]]ni na kusababisha moyo kushindwa kusukuma [[damu]] ipasavyo.
 
{{mbegu-biolojia}}
 
[[Jamii:Chakula]]
[[Jamii:Afya]]