Mafuta (chakula) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
 
Vyakula hivi ni kama [[parachichi]], [[siagi]] mbalimbali kama za [[maziwa]] na [[karanga]], na kwenye [[nafaka]] kama [[alizeti]].
[[Picha:Avocado with cross section edit.jpg|alt= parachichi|thumb| Parachichi ]]
Vyakula hivi humsaidia [[mtu]] kwa kumpatia [[joto]] hasa wakati wa [[baridi]], pia huchangia katika [[uzalishaji]] wa [[nishati]] na [[nguvu]] kwa ajili ya mwili na pia hufanya [[kazi]] mbalimbali katika [[mmeng'enyo wa chakula]] [[Tumbo|tumboni]].
[[File:Fatmouse.jpg|left|thumb|upande wa kushoto ni panya mwenye mafuta mengi na pembeni yake ni mwenye mafuta ya kawaida.]]