Afyuni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Field of opium.jpg|thumb||Shamba la mpopi chanzo cha afyuni.]]
[[Picha:Black_tar_(raw)_opium_seized_in_Afghanistan.jpg|thumb||Afyuni bichi kutoka nchini Afghanistan]]
'''Afyuni''' (kwa [[Kar.Kiarabu]] '''أفيون''') ni [[dawa]] asilia inayopatikana kutokana na utomvi[[utomvu]] uliokauka wa [[maua aina]] ya [[mpopi]] ([[jina la kisayansi]]: Papaver somniferum - Kiing.opiumkwa [[Kiingereza]]: Opium poppy). Ndani yake kunamna [[kemikali]] mbalimbali ambazo ni kati ya madawadawa makalikali kabisa yenyezenye uwezo wa kutuliza [[maumivu]] lakini zinasababisha pia [[ulevi]] unaozoesha [[watu]] haraka na kuwafanya wasiweze kuacha ulevi huuhuo.
 
== Uwezo na hatari za afyuni ==
Afyuni hutuliza maumivu, kuondoa mikakamao, inapunguza [[hisi]] ya [[njaa]] na husimamisha [[kuhara]]. Inasababisha pia [[ndoto rohoni]] zinazopendwa na watu na kutokana na uwezo huuhuo afyuni ina hatari ya kuzoesha watu kwa matumizi yakekuitumia.
 
Ikitumiwa mno inaweza kuua watu wanaoacha kula chakula au kwa kusimamisha kazi ya mapavu. Hatari zake ni hasa upande wa kiroho[[roho]] kwa sababu watu wanategemeawanaotegemea matumizi yake hawawezi kuiacha tena. Inapunguza uwezo wa [[akili]] na kunia kitu na kufuatilia mipango.
 
Siku hizi afyuni hutumiwa hasa kwa kutoa kemikali ndani yake na kutengeneza madawadawa kama [[morfini]] na [[heroini]] yanaoytumiwayanayotumiwa kama madawa ya [[tiba]] lakini zaidi kama [[madawa ya kulevya]] ambayo ni hatari na haramu kote [[duniani]] yakitumiwa nje ya tiba.
 
== Mavuno ya afyuni ==
[[Picha:Opium pod cut to demonstrate fluid extraction1.jpg|thumb||Tumba la mpopi limekatwa na utomviutomvu mweupe unatoka nje; baada ya masaa utaganda kuwa kama mpira kahawia-nyeusi.]]
UtomviUtomvu wa mpopi ni majimaji meupe yanayoganda haraka [[Hewa|hewani]] kuwa [[dutu]] yenye [[rangi]] ya [[kahawia]]-[[nyeusi]] inayofanana na [[mpira]]. Katika hali hii huitwa afyuni bichi na ilitumiwa tangu kale kama dawa laya kutuliza maumivu likawezesha [[waganga]] wa wa [[Wahindi]], [[Wachina]] na [[Waroma wa Kale]] kutekeleza [[upasuaji]] kwawa watu. Pamoja na matumizi hayahayo ilijulikana pia kama dawa la kulevya lakini hii ilikuwa matumizi ya pembeni tu hadi [[karne ya 15]] [[BK]].
 
Tangu karne ya 15 nchini [[China]] watu walianza kutumia afyuni bichi kama dawa la [[burudani]] wakilenga kwa ulevi wake. Lakini matumizi hayahayo yalipatikana mara hachechache tu kutokana na uhaba na [[gharama]] za afyuni huko.
 
== Historia ya usambazaji wake kama dawa la kulevya ==
Ndio[[Waingereza]] Waingeerzandio walioanza kulima mpopi na kutengeneza afyuni kwa wingi katika koloni[[Koloni|makoloni]] yao huko [[Uhindi]] walipoona [[soko]] lake huko China. Wakasambaza afyuni kwa [[bei]] ndogo katika nchi nyingi za [[Asia]] hasa China. Upatikanaji huu wa afyuni ulisababisha matumizi yake na watu wengi waliozoeleshwawaliozoeshwa nayo na kuitegemea.
 
[[Serikali]] ya China iliona hasara ya [[biashara]] hiihiyo kwanza kwa sababu ya hatari kwa afya ya wananachiwananchi, pili kwa sababu zaya hasara kwa [[uchumi]] kutokana na watu kupoteakupoteza muda kwa ulevi na pia gharama za kununua afyuni kutoka nje. Serikali ilipokataa kuingizwa kwa afyuni, Uingereza ilishambulia China katika [[vita ya afyuni]] ([[1840]] na tena [[1858]]) ikailazimisha kukubali biashara hii. Mwaka 1912 robo ya wanaume wote nchini China walitegemea matumizi ya afyuni ya mara kwa mara. Tatizo hili liliendelea hadi kukomeshwa kwa biashara yake chini ya utawala wa wakomunisti wa [[Mao Dzedong]].
 
Mwaka [[1912]] [[robo]] ya [[wanaume]] wote nchini China walitegemea matumizi ya afyuni ya mara kwa mara. Tatizo hili liliendelea hadi kukomeshwa kwa biashara yake chini ya [[utawala]] wa [[Wakomunisti]] wa [[Mao Dzedong]].
Baada ya vita kuu ya pili ya dunia matumizi ya afyuni yalipungua lakini matumizi ya madawa yanayotolewa ndani yake kama heroini yamezidi duniani.
 
Baada ya [[vita kuu ya pili ya dunia]] matumizi ya afyuni yalipungua lakini matumizi ya madawa yanayotolewa ndani yake kama heroini yamezidi duniani.
 
== Mengineyo ==
Nchini [[Uturuki]] kuna [[mji]] wa [[Afyonkarahisar]] lililopata [[jina]] lake kutokana na [[kilimo]] cha [[mipopi]] na utengenezaji wa afyuni.
 
[[Jamii:Madawa ya Kulevya]]