Tofauti kati ya marekesbisho "Uchimbaji madini"

30 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Uchimbaji madini''' ni kitendo cha kulima au kuchimba ardhi kwa ajiri ya kupata '''madini'''.Kitu chochote ambacho hakiwezi kukuzwa au kuundwa...')
 
[[File:Wurfschaufellader 01.JPG|thumb|Mchimbaji madini na [[mashine]] ya kuchimbia]].
'''Uchimbaji madini''' ni kitendo cha [[kilimo|kulima]] au kuchimba [[ardhi]] kwa ajiriajili ya kupata '''[[madini''']]. Kitu chochote ambacho hakiwezi kukuzwa au kuundwa lazima kichimbwe. Kile kitendo cha kuchukua madini kutoka ardhini ndicho kinaitwakinachoitwa uchimbaji madini. Uchimbaji madini unaweza kufanywa ili kupata madini ya ki[[metali]] au yasiyo yametali, kimetalikwa mfano,: [[Almasi]], [[Dhahabu]], [[Shaba]], [[Makaa ya mawe]], [[Chumvi]], [[Chuma]] na hata [[gesi asilia]].[[File:Wurfschaufellader 01.JPG|thumb|Mchimbaji madini na [[mashine]] ya kuchimbia]].
Uchimbaji mwingine hufanywa kwa kuondoa [[uchafu]] juu ya ardhi.Uchimbaji huu huitwa [[uchimbaji wa juu ya ardhi]].Uchimbaji mwingine hufanywa kwa kuchimba ndani zaidi kwenye ardhi kwenye mashimo ya ''machimbo ya madini''.Aina hii ya uchimbaji huitwa ''ujimbaji wa ardhini''.Lakini kuna baadhi ya madini yanachimbwa kwa [[njia]] tofauti kabisa na aina hizi za uchimbaji, mfano machimbo ya madini ya dhahabu.
 
Mfanya[[kazi]] anyechimba madini huitwa [[mchimba madini]].Uchimbaji wa madini chini wa chini ya ardhi ni wa hatari sana,wachimba madini kila [[mwaka]] hufa kwenye [[ajari]] hizo .Mara nyingi katika [[nchi]] [[maskini]].[[Vifaa|kifaa]] muhimu kwa ajiri ya kuongeza [[usalama]] hutumika ili kupunguza ongezeko la vifo vya wachimba madini.
Uchimbaji mwingine hufanywa kwa kuondoa [[uchafu]] juu ya ardhi. Uchimbaji huu huitwa [[uchimbaji wa juu ya ardhi]]. Uchimbaji mwingine hufanywa kwa kuchimba ndani zaidi kwenye ardhi kwenye mashimo ya ''machimbo ya madini''. Aina hii ya uchimbaji huitwa ''ujimbajiuchimbaji wa ardhini''. Lakini kuna baadhi ya madini yanachimbwa kwa [[njia]] tofauti kabisa na aina hizi za uchimbaji, mfano machimbo ya madini ya dhahabu.
kuna baadhi ya miji huwa kama [[miji|mji]] kwa ajili ya uchimbaji madini na wakazi wa maeneo hayo huwa ndio wanaochimba madini hayo kama [[ajira]]
 
Mfanya[[kaziMfanyakazi]] anyechimbaanayechimba madini huitwa [[mchimba madini]]. Uchimbaji wa madini chini wa chini ya ardhi ni wa hatari sana,: wachimba madini kila [[mwaka]] hufa kwenye [[ajariajali]] hizo, .Maramara nyingi katika [[nchi]] [[maskini]]. [[Vifaa|kifaaKifaa]] muhimu kwa ajiriajili ya kuongeza [[usalama]] hutumika ili kupunguza ongezeko la [[Kifo|vifo]] vya wachimba madini.
 
kunaKuna baadhi ya miji huwa kama [[miji|mji]] iliyoanza kwa ajili ya uchimbaji madini na wakazi wa maeneo hayo huwa ndio wanaochimba madini hayo kama [[ajira]].
 
{{mbegu-uchumi}}
 
[[Jamii:Uchumi]]
[[Jamii:Madini]]