Wengu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Wengu''' (pia "'''bandama''' "; kwa Kiingereza ''spleen'') ni kiungo cha mwili chenye nafasi katika mzunguko wa damu. Iko ndani ya fumbatio...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Visceral surface of Human Spleen.png|Wengu la [[binadamu]] lililotolewa katika [[maiti]].]]
'''Wengu''' (pia "'''bandama''' "; kwa [[Kiingereza]] ''spleen'') ni [[kiungo]] cha [[mwili]] chenye nafasi katika [[mzunguko wa damu]]. Iko ndani ya [[fumbatio]] ya mwili karibu na [[tumbo]].
'''Wengu''' (pia "'''bandama''' "; kwa [[Kiingereza]] ''spleen'', kutoka [[Kigiriki]]: σπλήν<ref name="σπλήν">[http://www.perseus.tufts.edu/hopper/text?doc=Perseus%3Atext%3A1999.04.0057%3Aentry%3Dsplh%2Fn σπλήν],
Henry George Liddell, Robert Scott, '''Wengu'''A (piaGreek-English "'''bandama'Lexicon'', ";on kwaPerseus [[Kiingereza]]Digital ''spleen''Library</ref>) ni [[kiungo]] cha [[mwili]] chenye nafasi katika [[mzunguko wa damu]]. Iko ndani ya [[fumbatio]] ya mwili karibu na [[tumbo]].
 
Wengu ya [[mtu mzima]] huwa na ukubwa wa takriban [[sentimita]] 11 × 7 × 4 na [[uzito]] wa [[gramu]] 150-200.
Line 5 ⟶ 7:
[[Kazi]] yake ni kuongeza [[idadi]] ya [[seli nyeupe za damu]] halafu kuondoa [[seli nyekundu za damu]] zilizozeeka.
 
Katika [[watoto]] ina pia [[jukumu]] la kutengeneza [[seli nyekundu]] za [[damu]]. Watu wazima kwa kawaida wanaweza kuishi bila wengu.
 
{{mbegu-anatomia}}