Nyota nova : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:GKPersei-MiniSuperNova-20150316.jpg|400px|thumb|Mabaki ya wingu linaloendelea kupanuka baada ya kuwaka kwa nova ya nyota GK Persei katika <ref>[[Farisi (kundinyota)|kundinyota Farisi]]</ref>; picha ilipatikana kwa kuunganisha picha zilizopigwa katika upeo wa eksirei (buluu), nuru (njano) na wimbiredio (nyekundu) ]]
'''Nyota nova''' ([[lat.]] ''stella nova'' kwa maana ya "'''nyota mpya'''", ing. ''[[:en:nova|nova]]'') ni ongezeko la ghafla la [[mwangaza unaoonekana|mwangaza]] wa nyota. Ilhali idadi kubwa za nyota hazionekani kwa macho matupu ongezeko hili linatokea mara nyingi kama "nyota mpya" angani inayoweza kung'aa sana hata kushinda nyota zote nyingine. Hivyo inaonekana kwa muda tu ikipotea baadaye tena kwa mtazamaji asiye na darubini.