Nyota nova : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 8:
 
==Tofauti kati ya Nova na Supanova==
Tangu katikati ya karne ya 20 vipimo vililetana elimu iliyopanuka vilifanya wanaastronomia kutofautisha kati ya "nova" na "supanova" ambazo zote ni "nyota mpya" zinazotokea angani kwa muda lakini kwa sababu tofauti.
*Nova ya Tycho Brahe sawa na ile ya mwaka 1006 siku hizi zinaitwa "supanova" maana zilikuwa milipuko ya nyota zilizoharibika kutokana na matukio haya. Inayobaki ni wingu la mata yake iliyosambaa katika eneo kubwa kama Nebula ya Kaa.
 
*Neno "nova" linataja sasa kuwaka kwa muda kwa nyota ndani ya [[nyota pacha|mfumo wa nyota pacha]]. Katika hali ya nova nyota inaongeza mwangaza ghafla mara elfu kadhaa ya kawaida yake hadi kurudi tena baada ya wiki au miezi katika hali yake kama kabla ya kuwaka.
 
*Neno "nova" linataja sasa kuwaka kwa muda kwa nyota ndani ya [[nyota pacha|mfumo wa nyota pacha]]. Katika hali ya nova nyota inaongeza mwangaza ghafla mara elfu kadhaa ya kawaida yake hadi kurudi tena baada ya wiki au miezi katika hali yake kama kabla ya kuwaka. Pia hapa inawezekana ya kwamba wingu linabaki lakini nyota yenyewe bado iko.
 
==Tabia za nova==