Nyota nova : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
lugha
Mstari 1:
[[Picha:GKPersei-MiniSuperNova-20150316.jpg|400px|thumb|Mabaki ya wingu linaloendelea kupanuka baada ya kuwaka kwa nova ya nyota GK Persei katika [[Farisi (kundinyota)|kundinyota Farisi]]; picha ilipatikana kwa kuunganisha picha zilizopigwa katika upeo wa eksirei (buluu), nuru (njano) na wimbiredio (nyekundu) ]]
'''Nyota nova''' ([[lat.]] ''stella nova'' kwa maana ya "'''nyota mpya'''", ing. ''[[:en:nova|nova]]'') ni ongezeko la ghafla la [[mwangaza unaoonekana|mwangaza]] wa nyota. Ilhali idadi kubwa za nyota hazionekani kwa macho matupu ongezeko hili linatokea mara nyingi kama "nyota mpya" angani inayoweza kung'aa sana hata kushinda nyota zote nyingine. Hivyo inaonekana kwa muda tu ikipoteana baadayekupotea tena kwa mtazamaji asiye na darubini.
 
==Historia ya utazamaji==
Zamani nyota zote zilizowaka hivi ziliitwa kwa jina lilelile "nova". Jina hili lilitumiwa mara ya kwanza na [[Tycho Brahe]] aliyeonaambaye kwenyekatika mwaka 1572 aliona nyota mpya katika eneo la kundinyota [[Mke wa Kurusi|Mke wa Kurusi ''(Cassiopeia)'']] na kueleza utafiti wake katika kitabu cha "De stella nova" <ref>Kilatini kwa "Kuhusu nyota mpya", linganisha [https://www.nasa.gov/mission_pages/WISE/multimedia/gallery/pia13119.html Tycho's Supernova Remnant], tovuti ya NASA, iliangaliwa Februari 2108</ref>. Tycho Brahe alianzisha wakati ule majadiliano kuhusu mafundisho ya wataalamu wa kale walioamini ya kwamba hakuna mabadiliko kwenye anga ya nyota.
 
Kuna taarifa za kale zaidi kuhusu nyota mpya zilizotokea angani. Taarifa ya kale zaidi ni ya wanaastronomia Wachina wa mwaka 185 kuhusu "nyota geni" iliyoonekana karibu na [[Rijili Kantori|Rijili Kantori ''(α Centauri)'']]. Nova nyingine ilitazamiwa mwaka 1006 na kurekodiwa na wanaastronomia Wachina, Wajapani na Wakristo wa Baghdad, mabaki yake huonekana hadi leo kama "Nebula ya Kaa" katika eneo la [[Tauri (kundinyota)|Tauri ''(Taurus)'']].