Nyuzilandi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 80:
[[Idadi]] ya wakazi ni 4,537,081. Wengi wao wana asili ya [[Ulaya]]
 
[[Lugha rasmi]] ni [[Kiingereza]], [[Kimaori]] na [[lughaLugha ya mikonoIshara ya Nyuzilandi]] ya(kwa Kiingereza: [[viziwiw:New_Zealand_Sign_Language|New Zealand Sign Language]] au NZSL).
 
Upande wa [[dini]], 43.5% ni [[Wakristo]] wa [[madhehebu]] mbalimbali, kuanzia [[Kanisa Katoliki]] (11.07%) na [[Anglikana]] (10.33%). Idadi ya [[wasio na dini]] inazidi kupanda na imeshafikia 38.55%, mbali ya 12.27% wasiojibu swali kuhusu hilo.