Nyoka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza marejeo
dNo edit summary
Mstari 31:
Wote wanazaa kwa njia ya mayai lakini spishi kadhaa hubeba mayai ndani ya mwili hadi wadogo wamekua tayari.
 
[[Mjusi|Mijusi]] wasio na miguu wanafanana sana na nyoka lakini nyoka hawana [[makope]] machoni wala masikio ya nje.
 
Kuna nyoka wadogo wenye sentimita kumi tu wakiwa wazima na nyoka wakubwa hadi urefu wa mita 7.6.