Volkeno : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata) - The interwiki article is not featured
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Volcano q.jpg|thumb|400px|Volkeno hai.]]
'''Volkeno''' (pia: '''volkano''' au '''volikano''') ni mahali ambako [[zaha]] inatoka nje kwaya uso wa ardhi. Mara nyingi - lakini si kila mahali - volkeno niimekuwa [[mlima]]. Volkeno huwa na [[Kasoko ya volkeno|kasoko]] yaani [[shimo]] ambako zaha na [[gesi]] inatokazinatoka nje.
 
'''Volkeno''' (pia: '''volkano''') ni mahali ambako [[zaha]] inatoka nje kwa uso wa ardhi. Mara nyingi -lakini si kila mahali- volkeno ni [[mlima]]. Volkeno huwa na [[Kasoko ya volkeno|kasoko]] yaani shimo ambako zaha na gesi inatoka nje.
 
==Asili ya jina==
[[Asili]] ya [[jina]] ni [[Miungu|mungu]] wa imani[[dini]] ya [[Roma ya Kale]] aliyeitwa "Vulcanus". Kati ya [[Mitholojia ya Kirumi|miungu ya Kiroma]] alihusika na [[moto]], [[radi]] na [[uhunzi]]; kwa hiyo aliheshimiwa hasa na wote waliotumia moto kwa kuyeyusha [[metali]] kama [[chuma]] au [[shaba]].
 
==Volkeno na ganda la dunia==
Volkeno ni [[dalili]] ya kwamba mahali pake [[ganda la dunia]] si nene sana, hivyo [[joto]] la ndani linapata [[njia]] ya kutoka nje. Volkeno huanza katika [[tambarare]]. Zaha hutoka katika hali ya [[kiowevu]]; ikipoa haraka inaganda kuwa [[mwamba]] na hujenga mlima wa kuzunguka shimo la kasoko yake. Milima ya aina hiihiyo inaweza kukua sana. Mfano wa volkeno kubwa ni [[Mlima Kilimanjaro|Kilimanjaro]]. Miamba yake yote ilijengwa na zaha iliyotoka ndani ya [[dunia]].
 
Volkeno nyingi hutokea pale ambako [[bamba la gandunia|mabamba ya ganda]] la dunia vinaachanayanaachana au kusukumana. Hivyo volkeno hutokea hasa kwenye mistari ya kukutana kwa mabamba hayahayo.
 
Sababu nyingine ya kutokea kwa volkeno ni kuwepo kwa [[chumba]] cha [[magma]] ndani ya ganda la dunia.
 
==Volkeno hai na volkeno bwete==
Volkeno inaweza kupatikana kama volkeno hai inayoendelea kutema moto, gesi na [[majivu]]. Inaweza pia kuonekana kama volkeno bwete inayokaa kama milima mingine bila kuonyesha dalili za moto. Lakini kutokana na [[umbo]] na [[tabia]] za miamba yake inaonekana mlima huu ulijengwa kwa njia ya kivolkeno.
 
Volkeno bwete inaweza kuamka tena. Mara nyingi kuwepo kwa [[chemchemi]] za [[maji ya moto]] au kutokea kwa gesi kwenye sehemu fulani ni dalili ya kwamba bado kuna njia kati ya mlima na magma ya chini. Kipindi kati ya milipuko kinaweza kuwa miaka mingi.
 
==Mlipuko wa volkeno==
[[Mlipuko wa volkeno]] ni hatari sana kwa ajili ya [[wanadamu]] na [[mazingira]]. HiiHiyo hatari ni kubwa zaidi pale ambako volkeno ililala kama olkenovolkeno bwete kwa miaka mingi, labda maelfuelfu kadhaa. HapaHapo mara nyingi watu wamevutwa na [[udongo]] mwenyewenye rutba[[rutuba]] kutokana na majivu ya volkeno wajenge makazi na kulima. Kama hapahapo volkeni inageuka kuwa hai tena hatrihatari ni kubwa. Kuna mifano ya [[Kifo|vifo]] vingi vilivyosababishwa na volkeno. Hasara inategema kama [[miji]] iko karibu na volkeno au la, na kama [[serikali]] zina [[huduma]] za kutazama volkeno na kuonya watu watoke mapema wakati dalili za kwanza zinatokea.
 
Kati ya mifano ya milipuko makali inayojulikana zaidi ni:
 
Kati ya mifano ya milipuko makalimikali inayojulikana zaidi ni:
* mlipuko wa volkeno ya [[Vesuvio]], [[Italia]]. Iliharibu miji ya Pompei na Herkulaneo mwaka 79 BK.
* mlipuko wa volkeno ya [[Krakatau]], [[Indonesia]] mwaka 1883. Ilirusha vumbi nyingi angani kiasi kilichoonekana kote duniani
* mlipuko wa volkeno [[Nevado del Ruiz]], [[Kolumbia]] mwaka 1985 uliua watu 25.000 kutokana na kuyeyusha [[theluji]] na [[barafu]] mlimani na kusababisha mafuriko ya ghafla
 
* mlipuko wa volkeno ya [[Vesuvio]], [[Italia]]. Iliharibu miji ya [[Pompei]] na Herkulaneo [[mwaka]] [[79]] [[BK]].
[[Ol Doinyo Lengai]] ni volkeno ndogo iliyolipuka [[Tanzania]] kaskazini mwaka 2006.
* mlipuko wa volkeno ya [[Krakatau]], [[Indonesia]] mwaka [[1883]]. Ilirusha vumbi[[Vumbi|mavumbi]] nyingimengi [[Anga|angani]] kiasi kilichoonekana kote duniani
* mlipuko wa volkeno [[Nevado del Ruiz]], [[KolumbiaKolombia]] mwaka [[1985]] uliua watu 25.000 kutokana na kuyeyusha [[theluji]] na [[barafu]] mlimani na kusababisha [[mafuriko]] ya ghafla
 
[[Ol Doinyo Lengai]] ni volkeno ndogo iliyolipuka [[Tanzania]] [[kaskazini]] mwaka [[2006]].
 
==Tazama pia==
{{mbegu-sayansi}}
* [[Orodha ya volkeno nchini Tanzania]]
{{mbegu-jio}}