Tofauti kati ya marekesbisho "Mlima Meru"

356 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
[[File:Mount Meru, 2012.jpg|thumb|Mlima Meru, [[mwaka]] [[2012]].]]
[[picha:mount_meru_sat_photo.jpg|right|thumb|Mlima Meru kutoka juu.]]
'''Mlima Meru''' ni [[mlima]] wa [[volkeno]] na unawenye [[urefu]] wa [[mita]] 4565 ([[futi]] 15064) kutoka[[juu ya usawa wa bahari]]. Mlima huuhuo ni wa [[tano]] kwa urefu katika [[bara]] la [[Afrika]].
 
Mlima Meru unapatikana ndani ya [[Hifadhi ya Arusha]] ambayo ilianzishwa mwaka [[1960]] na ambapo wanyama pori[[wanyamapori]] kuzunguka [[Maziwa ya Momella]] na Volcanovolkeno ya [[Ngurudoto]] (''Ngurudoto crater'') walihifadhiwa na kulinwakulindwa katika eneo hili.
 
Hifadhi hiihiyo ina ukubwa wa [[kilometa za mraba]] 137 na ipo [[umbali]] wa [[kilometa]] 35 kutoka katika [[mji]] wa [[Utalii|kitalii]] wa [[Arusha]] na [[Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro]].[[picha:Meru Ashcone.jpg|left|thumb|250px|Kilele cha Mlima Meru]]
[[picha:Meru Ashcone.jpg|left|thumb|250px|[[Kilele]] cha Mlima Meru.]]
[[Vivutio vya Tanzania|Vivutio]] katika hifadhi hiihiyo vinajumuisha [[volkeno]], [[maziwa]], [[misitu]] na wanyama poriwanyamapori kama [[twiga]], [[tembo]], [[pundamilia]], [[nyati]] na wengine wengi. Pia kuna [[Ndege (mnyama)|ndege]] wa aina nyingi wakiwemo ''[[flamingo]]'', piana [[misitu]] katika mlima Meru ni makazi ya [[nyani]].
 
Kupanda Mlima Meru inachukuakunachukua [[siku]] [[tatu]] hadi [[nne]] na wakati mzuri wakwa kupanda mlima ni kuanzia [[Mwezi (wakati)|mwezi]] [[Juni]] hadi [[Februari]] ambapo [[mvua]] zinaweza kunyesha katika mwezi wa [[Novemba]]. Na wakati mzuri wa kuona [[mlima Kilimanjaro]] kutokea Meru ni mwezi kati ya [[Desemba]] na Februari.
 
==Tazama pia==
* [[Orodha ya volkeno nchini Tanzania]]
 
==Marejeo==
* [http://www.intimate_places.com Tembelea Meru]
* [http://www.tanzania_adventure.com/mount_meru Mlima Meru]
{{mbegu-jio-Tanzania}}
 
[[Jamii:Milima ya Tanzania]]
[[Jamii:Volkeno za Tanzania]]
[[Jamii:Mkoa wa Arusha]]