Anwani ya kijiografia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:This is a basic photo showing that latitude lines are horizontal and longitude lines are vertical- 2014-07-25 20-36.jpg|350px|thumb|Maelezo ya latitudi na longitudi]]
'''Anwani ya kijiografia''' (pia '''viwianishi''', [[ing.]] [[:en:coordinates|coordinates]]) ni namna ya kutaja mahali duniani. Anwani ya kijiografia huelezwa kwa kutaja [[longitudo]] na [[latitudo]] za mahali fulani.
 
Dunia hugawiwa katika gredi 360 za longitudo na gredi 180 za latitudo (90° za kaskazini na 90° za kusini).