Mafuta (chakula) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Fati''' ni [[neno]] lililotokana na [[Kiingereza]] "fat", maana yake ni [[mafuta]]. Fati ni sehemu ya [[chakula]] cha [[binadamu]] ambacho kipo katika mfumo wa mafuta au kimeundwa na mafuta kwa [[asilimia]] kubwa.
[[Picha:CashewSnack.jpg|thumb|250px|Korosho]]
 
Vyakula hivi ni kama [[parachichi]], [[siagi]] mbalimbali kama za [[maziwa]] na [[karanga]],korosho na kwenye [[nafaka]] kama [[alizeti]].
[[Picha:Avocado with cross section edit.jpg|alt= parachichi|thumb| Parachichi ]]
Vyakula hivi humsaidia [[mtu]] kwa kumpatia [[joto]] hasa wakati wa [[baridi]], pia huchangia katika [[uzalishaji]] wa [[nishati]] na [[nguvu]] kwa ajili ya mwili na pia hufanya [[kazi]] mbalimbali katika [[mmeng'enyo wa chakula]] [[Tumbo|tumboni]].