Isa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 49:
Waislamu pamoja na Wakristo wanaamini kuwa Isa [[Ujio wa pili|atarudi tena]] ulimwenguni kukamilisha kazi yake aliyoiacha baada ya kupaa kwenda kwa Mola wake, na haya yanaelezwa katika vitabu vya dini vya Kiislamu na vya Kikristo, lakini wanahitilifiana kuhusu namna na njia aliyoondokea ulimwenguni.
 
Waislamu wanasema kuwa Isa alichukuliwa na Mola wake na kupandishwa kwake mbinguni baada ya Wayahudi kutaka kumuua, na kwa hivyo hawakuweza kumuua wala kumsulubu. Wakristo kwa upande mwingine, wanaamini kuwa aliwahi [[Msalaba wa Yesu|kusulubiwa]] na kuzikwa kisha [[Ufufuko wa Yesu|akafufuka]] siku ya [[tatu]]. Muhimu hapa ni kujua kuwa atarudi tena duniani kukamilisha kazi aliyopewa na Mwenyezi Mungu. Ni kweli kwamba waislamu nabii Isa na Yesu kristo ni tofauti sana.
 
{{mbegu-dini}}