Heinrich Hertz : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Riccardo Riccioni alihamisha ukurasa wa Heinrich hertz hadi Heinrich Hertz: usahihi wa jina
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Heinrich-hertz.jpg|alt=Heinrich Hertz|thumb|Heinrich Hertz]]
'''Heinrich Rudolf Hertz''' ([[22 Februari]] [[1857]] - [[1 Januari]] 1894) alikuwa [[mwanafizikia]] wa [[Ujerumani]].Mwaka [[1888]] aligundua [[mawimbi]] ya [[redio]] hapo awali yaliyotabiriwa na mlinganyowa [[Maxwell]]. Pia alionyesha kwamba [[mwanga]] ni aina ya [[mawimbi]] ya [[umeme]]. Kipimo cha kiwango cha mawimbi kwa heshima kiliitwa kwa jina lake mwenyewe '''Hertz'''[[hertz]] (pia hezi).
 
Hertz alizaliwa huko [[Hamburg]] mwaka wa [[1857]]. Alijifunza uhandisi huko [[Frankfurt]] na baadaye Chuo Kikuu cha [[Munich]]. Alimaliza [[Phd]] yake katika Chuo Kikuu cha [[Berlin]]. Alifundisha na kuendelea [[utafiti]] katika [[Chuo Kikuu]] cha [[Bonn]] na [[Chuo Kikuu]] cha [[Kiel]].