Heinrich Hertz : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Heinrich-hertz.jpg|alt=Heinrich Hertz|thumb|[[Picha]] halisi ya Heinrich Hertz.]]
'''Heinrich Rudolf Hertz''' ([[22 Februari]] [[1857]] - [[1 Januari]] [[1894]]) alikuwa [[mwanafizikia]] wa [[Ujerumani]].Mwaka [[1888]] aligundua [[mawimbi]] ya [[redio]] hapo awali yaliyotabiriwa na mlinganyowa [[Maxwell]]. Pia alionyesha kwamba [[mwanga]] ni aina ya [[mawimbi]] ya [[umeme]]. Kipimo cha [[Marudio|marudio ya mawimbi]] kwa heshima kiliitwa kwa jina lake mwenyewe [[Hertz]] (pia Hezi, kufupi Hz).
 
[[Mwaka]] [[1888]] aligundua [[mawimbi]] ya [[redio]] yaliyotabiriwa hapo awali na [[mlinganyo]] wa [[Maxwell]]. Pia alionyesha kwamba [[mwanga]] ni aina ya [[mawimbi]] ya [[umeme]]. Kwa [[heshima]] yake [[kipimo]] cha kiwango cha mawimbi kimeitwa kwa [[jina]] lake mwenyewe: '''Hertz''' (pia Hezi, kifupi Hz).
Hertz alizaliwa huko [[Hamburg]] mwaka wa [[1857]]. Alijifunza uhandisi huko [[Frankfurt]] na baadaye Chuo Kikuu cha [[Munich]]. Alimaliza [[Phd]] yake katika Chuo Kikuu cha [[Berlin]]. Alifundisha na kuendelea [[utafiti]] katika [[Chuo Kikuu]] cha [[Bonn]] na [[Chuo Kikuu]] cha [[Kiel]].
 
Hertz alizaliwa huko [[Hamburg]] mwaka wa [[1857]]. Alijifunza [[uhandisi]] huko [[Frankfurt]] na baadaye [[Chuo Kikuu]] cha [[Munich]]. Alimaliza [[PhdPh.D.]] yake katika Chuo Kikuu cha [[Berlin]]. Alifundisha na kuendelea [[utafiti]] katika [[Chuo Kikuu]] cha [[Bonn]] na [[Chuo Kikuu]] cha [[Kiel]].
Alikufa kutokana na kuwepo kwa sumu kwenye damu.
 
Alikufa kutokana na kuwepo kwa [[sumu]] kwenyemwenye [[damu]].
{{mbegu-mtu}}
 
{{mbegu-mtumwanasayansi}}
[[Jamii:wanasayansi]]
{{BD|1857|1894}}
[[Jamii:wanasayansiWanafizikia]]
[[Jamii:Wanasayansi wa Ujerumani]]